kazimotojohnpombe
Member
- Nov 14, 2018
- 30
- 23
Usiongee kwa jazba rafiki yangu, kusema HAKOSEI si kumaanisha hivyo, nilikua namanisha kua kwa swala la ukabila Kagame anafuatilia vizuri na Team yake wako makini sana, na wewe umesema kua JPM ni mhutu, mhhh unadhani itakua rahisi Kagame aamini Mhutu? kwa Taarifa yako Kagame ni Mtusi, halafu umepandwa chuki na wahutu, wahutu hawana ubaya wowote, basi ingejua tabia ya wahutu ni sawa na watanzania, kwanza hawana uchokozi na mtu, ila usiwachokoze na wewe basi mtaishi kwa Amani , ila ukianza ubaya wewe watakunyamazia hadi ukiwafikisha kwenye ukuta ndio utaipata GENOCIDE. Sasa nitawaeleza urafiki wa Kagame na JPM ulianzia wapi, ni historia ndefu lakini nitaeleza na ni jambo embalo lilikua linawapa Ishida sana watanzania