This is How Paul Kagame changed Rwanda

Watz wenzangu acheni wivu, rohombaya + chuki, ndio maana mnaogopa kuipa mamlaka kamili Zanzibar kutokana na roho zenu mbaya, mnaona mkiipa mamlaka kamili itakujakua aibu kwenu ndani yanmiaka michache
Zanzibar wametaka mamlaka kamili wakakataliwa?
 
Acha Propaganda za kijinga. Eti primary to secondary school. Kwa elimu ipi? Gakuna mtu mwenye pesa Tanzania anaye weza kusomesha mtoto wake hizo shule. Hata walimu wa hizo shule za Serikali watoto wao wanasoma Private.
Mada hapa ni Rwanda
Wewe umekazana na Mambo ya Zanzibar we jamaa upoje
Twende kwenye mada husika

Naomba ujibu hoja hii ya PNU

Did you know when Nyerere Hydropower project is complete, Tanzania will be producing more electricity than Kenya, Rwanda, Uganda and Burundi Combined?

Did you know that when Tanzania SGR is complete, It will be the longest high speed railway in Africa?

Did you know that Tanzania is producing food every year than Kenya, Uganda,Rwanda, Burundi and south Sudan combined?

Did you know that in Tanzania, once all airports under construction in every region are complete, Tanzania will be first country in subsaharan region to have many airports with international standards.

Did you know that Tanzania has most advanced radars in East Africa?

Did you know that Tanzania has more access rate to electricity than any country in subsaharan countries?

Did you know that Tanzania has many varieties of minerals than any country in the world?

Did you know that Tanzania has biggest national natural parks in the world?

Did you know that Tanzania has many hospitals than Kenya,Rwanda and Burundi combined?

Did you know that the biggest clubs in Tanzania (Simba and Yanga) are paying more to their players than any club in east Africa?

Did you know that Tanzania has the most modern airport in East Africa?

Did you know that Tanzania is the only country in Africa where students from primary to secondary are not paying anything for their studies.

Did you know that Kariakoo to Posta is the biggest market area in Africa?

Source: PNU
 
Watz wenzangu acheni wivu, rohombaya + chuki, ndio maana mnaogopa kuipa mamlaka kamili Zanzibar kutokana na roho zenu mbaya, mnaona mkiipa mamlaka kamili itakujakua aibu kwenu ndani yanmiaka michache

Kafie mbele. Tanzania itasimama daima.
 
Watz wenzangu acheni wivu, rohombaya + chuki, ndio maana mnaogopa kuipa mamlaka kamili Zanzibar kutokana na roho zenu mbaya, mnaona mkiipa mamlaka kamili itakujakua aibu kwenu ndani yanmiaka michache
Unatakiwa uelewe point ya msingi usipige kelele tu , sio kama kigari ya ovyo hapana ila je ktk nchi ya Rwanda kuna mji mwengine mkubwa ukiachana na kigali au ndo miji midogo midogo tu
 
Tangayika yetu ilikua wapi? Kama sio majeshi kutoka huku kwetu kwenda kukalia mabavu visiwa vya Zanzibar basi mpaka leo tungeitwa Tanganyika, msipotoe historia za kweli mkajitungia historia na kuzipotosha, Rais wakwanza wa Zanzibar hakua mbongo wala hahusiani ata chembe, nani kakwambia asilimia kubwa ya wazanzibari wametoka bongo?? Zanzibar walikua wana kiti chao UN, Zanzibar walikua wa Passport yao au nikuletee uzi hapa, Wabongo tuache rohombaya View attachment 1495898
Na usisahau kusema kama majeshi yasingetoka huku kwenda Zanzibar mpaka leo ingekuwa taifa la waarabu wa Oman hata hao wanaojiita wanzanzibar wangekua wote washakimbilia bara maana kungekua na ubaguzi wa rangi kiasi mtu mweusi hata ile haki ya kupiga kura tu hauna .
 
Siku tukiipa uhuru Zanzibar ndio upinzani tz utashinda uchaguzi. Ukweli ndio huo ingawaje unauma
Kwani Zanzibar haipo Uhuru ? Hii ndio shida ya kua na roho ya ubinafsi Uhuru gani unaoutaka au unataka uhuru wa Libya? . Kwa roho kama hii ya kwako na mpemba nae atataka Uhuru mwisho mutabaguana wenyewe Kwa wenyewe mwisho na mdonge na mmatemwe nae atataka Uhuru mwisho wake ndio unapatikana Uhuru wa kuwana kama uliopatikana Libya ,sasa hivi unaweza ukampiga tu mtu risasi hamna hata serikali
 
Nani aliekwambia kutaka uhuru ni kubaguana? Tunajilimbikizia linchi kubwa na kupora maeneo thn matokeo yake mnawaweka watu maskini
 
Usiseme sii tukiipa...sema we muarabu wa oman unaililia zanzbar...mnataka muitawale kama kipndi kile waarabu bana mkaenda UN muachiwe nchi wakat n wa vamizi Sasa mmeona waafrica wameungana mnaanza chokochoko.....

Serikal kibara hiki kutoka Oman kinatana nchi yet....
Siku tukiipa uhuru Zanzibar ndio upinzani tz utashinda uchaguzi. Ukweli ndio huo ingawaje unauma
 
Zanzibar wametaka mamlaka kamili wakakataliwa?

1593895055437.png

Labda kama wanapenda kurudi kwenye hali hii?
 
PK ana wasi wasi kwa sababu nchi yake ni ndogo na wapo nyuma kidogo. Umeona mwaka jana aliuza RwandAir kwa sababu ushindani ni mkubwa sana. Nchi yao ni ndogo kama mkoa moja tu Tanzania wanajitahidi hapo walipofika ukitilia maanani kwamba walikuwa wanauana kama kima.
 
Tangayika yetu ilikua wapi? Kama sio majeshi kutoka huku kwetu kwenda kukalia mabavu visiwa vya Zanzibar basi mpaka leo tungeitwa Tanganyika, msipotoe historia za kweli mkajitungia historia na kuzipotosha, Rais wakwanza wa Zanzibar hakua mbongo wala hahusiani ata chembe, nani kakwambia asilimia kubwa ya wazanzibari wametoka bongo?? Zanzibar walikua wana kiti chao UN, Zanzibar walikua wa Passport yao au nikuletee uzi hapa, Wabongo tuache rohombaya View attachment 1495898
Kumbuka the coastal area ya Tanganyika ilikuwa eneo la znz hivyo wazaramo nao ni wazanzibari
 
Rander humo humo
Jengo moja linajirudia mara 3
Umesema Rwanda
maanayake Nchi nzima
Tupe picha mji mwingine nje ya Kigali!
pia utueleze
Rwanda nzima wana megawati 100 tu
inakuwaje!!
Usingeuliza hili, mimi ningeuliza
 
Back
Top Bottom