Recent content by kazikubwa

  1. kazikubwa

    Anjetile Osiah mbona upo kimya sana?

    Takriban mwezi wa pili sasa sikusikii ukirusha mashambulizi kwa wale unaodai wanawaingilia katika utendaji wenu wa kazi. Je umetishwa? Unanikumbusha wakati uleee wa Rage, alipiga kelele weee tukashangaa tulipoambiwa yupo Ukonga, je kimya chako kinamaanisha ya Rage?
  2. kazikubwa

    Kukosa Staha Bungeni ni zao la malezi mabovu-Mkuu wa Dini

    Katika taarifa ya habari ya saa 2 usiku leo Radio One Stereo, kiongozi mkuu wa dhehebu la dini ambaye anatarajia kustahafu amesema yanayoendelea Bungeni kwa sasa ni tatizo la malezi. Tundu Lisu umesikia?
  3. kazikubwa

    Wenye Waume/Wapenzi Muwe Makini..

    Hao kinadada wanasaidia sana kuimarisha ndoa zetu. Usipinge kabla hujafikiria kwa kina.
  4. kazikubwa

    Yanga kufanya kufuru Afrika Mashariki...

    Acha kutuonea wivu na timu yetu. Tumepata wafadhili kutoka Colombia, uwanja utajengwa na mtabaki midomo wazi.
  5. kazikubwa

    CHADEMA in war against the truth

    Watachinja nyani mwaka huu.
  6. kazikubwa

    Zitto, Bashe Nao Kuwindwa Na Wang'oa Kucha!

    Hivi gazeti la Mtanzania ni la Eric Shigongo?
  7. kazikubwa

    nimemchukua dada kaja mdogo mtu tabu tupu

    Sioni tatizo, sisi wagogo tunamaanisha atamsaidia dada yake katika siku 3-7 za mwezi akiwa.... unaweza kudokoa hata akiumwa dada au akiwa busy, tunaruhusu hiyo. sijui kwa wamasai ikoje?
  8. kazikubwa

    Wanawake mnaweza kujiuliza hili!

    Yote mitihani ya dunia
  9. kazikubwa

    Je mke mmoja anatosha kweli tuweni wawazi?

    Tunaongozwa na unafiki. Fanya utafiti uone ni wanaume wangapi wanaotakiwa kuwa na mke mmoja tu wanatoka nje ya ndoa? Ukilijua hilo utafahamu kuwa wanatumia vinywa lakini matendo yao yanaeleza. Ni mabingwa wa kutumia vinywa.
  10. kazikubwa

    Nitamng'oa Mnyika Ubungo - Juliana Shonza

    Uongo na uzushi, mwenyewe kakanusha
  11. kazikubwa

    Spika Makinda atumiwa SMS zaidi ya 400 'za matusi'

    Chadema inawezekana imeingia mikataba ya siri na mitandao ya simu, hiyo ya Makinda ni gea tu ya kuwafanya mazuzu watumie fedha zao.
  12. kazikubwa

    Condom with teeth

    Hiyo ni Condom au Test Tube ya Lab?
  13. kazikubwa

    Heche ahutubia Mkutano nchini Albania, Aionyesha Dunia Ukandamizaji wa Demokrasia unaofanyika nchini

    Watu sita tu walikuwepo. Utadhani kuna jambo la maana kumbe wapi
  14. kazikubwa

    Nitamuunga mkono mgombea Ubunge yeyote wa chama changu (CCM) jimbo la Ubungo kumng'oa Mnyika

    Nakubaliana nawe, njaa yako hata nawe imeshaozesha ubongo wako
  15. kazikubwa

    Dk Slaa afunguka

    Afadhali, niliyamiss sana makelele yake. Je sera za mabomu zitaendelea?
Back
Top Bottom