Recent content by kazi2000

  1. K

    Nataka kujua fursa zinazopatikana wilaya ya Mpanda

    Kwa upande wa kalambo ,ukiwekeza kwenye hotel unaweza kupiga pesa,ingawa mara ya mwisho nimekuta Kama Kuna majengo yanaanza kujengwa,(2018) ingawa sikudadisi Sana kama ni ya serikali au mtu binafsi. Ila Kama utaamua kwenda kuwekeza kwenye hiyo sector naomba uni pm ili nikuunganishe na ndugu...
  2. K

    Tahadhari: Kuweni makini sana na wahudumu wa bank

    habari zenu ndugu zangu.nampa pole sana ndugu yetu aliye ibiwa na bank teller hiyo 8000,ila naomba usimhukumu moja kwa moja huyo teller kwaani ina wezekana alifanya kosa la kiufundi kwenye kuset counting machine,yaani pesa zake alikuwa anahesabia kwenye "count mode"badala ya kuweka "cf mode"...
  3. K

    URGENT: Graduate wa Degree ya Accountancy anahitajika haraka (1 yr exp)

    niko mtwara. degree ya accounting and one year of experience. toa mawasiliano mkuu
  4. K

    Jamani ndugu zangu wa Sumbawanga Rukwa,tusalimiane!

    mlishani bonse? tutenzi kumwintu kukasanga.....kuchani antu kumkutukana pa paswee....ansiningo vivyo ...real napamiss swax....
  5. K

    Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    pole sana mdau ila jarbu kupunguza mawazo kwanza. then tafuta mbegu za mlonge utafune tatu mara tatu kwa siku.au pm for more info
  6. K

    Natafuta Kazi-Dodoma Mjini

    pole sana Mimi nakutakia kila la kheri.ila nami naomba details za huko utakako acha pengo ili nikazibe kama ikiwezekana.nina uzoefu wa mwaka mmoja working as branch accountant.pia ni diploma holder from Tanzania Institute of Accountancy.gender ni male
  7. K

    Ntapata wapi kitabu cha mkimbizi?

    una maanisha kitabu cha mkimbizi ndani ya nchi yangu.ambacho mhusika mkuu ni tigger mumbala kama sijakosea?
  8. K

    TANZIA: Mkuu wa Wilaya ya Kalambo, Moshi Chang’a afariki Dunia

    Rest in peace mzee moshi chang'a. mkuu wa wilaya yangu,mtu wa watu. Nakumbuka ilikuwa ni tarehe 11/04/2014 nikiwa pale mtwara nilikutana na mtoto wake Ndg Mohammed chang'a akaniambia habari za kuumwa kwake..hatimae Jana umetutoka. Eeh Mungu watie nguvu ndugu na jamaa wa marehemu ktk Kipindi...
  9. K

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    uuuh. jamani hizo team zenyewe ukiangalia recent form zao...mpaka unachoka....for ur own risk unaweza ukaniiga mimi..revente win and auxerre lose...points zake 3. 2 . au anayetaka pesa za fasta aweke monaco, schalke 04, dulka praha na bursaspor
  10. K

    naomba msaada wale wa st.John university

    Mimi ninayo joining instructn ya gheto. Ukikosa hall three nitafute...nikuelekeza by the way unakaribishwa mazengo
  11. K

    Mwenye ujuzi wowote kuhusu st johns university ya dodoma

    jiandae kukaza msuli wangu.supp tatu disco kati ya masomo nane au tisa kwa term moja.mengineyo unaweza ni pm
  12. K

    St.John's university of tanzania

    watakuja kukueleza wanaokijua vizuri mimi nakupa pa kuanzia.tembelea St.John's University of Tanzania
  13. K

    Jamani mwenzenu demu wangu ni mjeuri,anakiburi na mkaidi sana nimfanyeje.....?

    ndugu yangu bora matatizo ya zamani uliyo yazoea kuliko mapya usiyoyazoea.mrekebishe
  14. K

    Huyu dada yangu nimeshindwa kumwelewa kabisaa.

    nashukuru sana kwa michango yenu wadau..pia nimewakubali kwa utashi wenu maana wengi mmenishauri positively.mungu ajalie hekima
  15. K

    Huyu dada yangu nimeshindwa kumwelewa kabisaa.

    Umri wa mtu mzima kabisaa..around 28 na 29.huwa na lazimika kufikia kwa aunt kwa sababu ya type ya mishe zinazonipelekaga
Back
Top Bottom