Recent content by Kayugumis

  1. K

    JamiiForums Tanzania Jinsi Miamala ya Airtel Money inavyowapa Wateja fursa za zawadi

    Wateja wa Airtel Tanzania wanaendelea kupata fursa za kushinda zawadi mbalimbali kupitia miamala yao ya kawaida ya Airtel Money, chini ya kampeni ya Minyoosho Inaendelea ambayo inawahamasisha wateja kutumia Airtel Money katika shughuli zao za kila siku, huku miamala inayokidhi vigezo ikiwapa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania CAG ingia TANAPA

    Taarifa za ubadhirifu mkubwa wa fedha za umma TANAPA zimetajwa sana sana kila kona. Ubadhirifu huo mkubwa unaofikia Shilingi zaidi ya bilioni 19, umefanyika katika kipindi cha uongozi wa Kamishna wa Uhifadhi aliyemaliza muda wake. Ubadhirifu huo unazua maswali pia kuhusu umakini wa Bodi ya...
  3. K

    JamiiForums Tanzania NMB Bank rekebisheni huduma zenu, mnakoelekea mtatupoteza wateja

    Kuna changamoto upande wa NMB Bank, nimekumbana na changamoto ambayo hadi sasa haijapatiwa suluhisho. Juzikati nilituma fedha kwenda kwenye akaunti nyingine, zikaonekana zimekatwa kwenye akaunti yangu, lakini hadi siku ya tatu, mlengwa hajazipokea. Nilipojaribu kuwasiliana na NMB kupitia DM...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa mdau kuhusu usambazaji wa pembejeo za korosho msimu 2026/2027

    Nikiwa kama mdau wa sekta ya Korosho hapa nchini, ambaye nimezaliwa na kulelewa kwa zao hili la Korosho, kwa maoni yangu tunapaswa kuheshimu hatua kubwa inayopigwa katika kusimamiwa na kuendelezwa kwa zao hili, ambalo limekuwa likitumika na baadhi ya watu vibaya kwa maslahi yao binafsi ili...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa CWT wasubiri uamuzi wa mahakama

    VIONGOZI waliosimamishwa na Baraza la Taifa la Chama cha Walimu Tanzania (CWT) wataendelea kuwa nje ya nafasi zao za uongozi hadi Mahakama ya Mkoa wa Dodoma itakapotoa uamuzi katika kesi inayowakabili. Waliosimamishwa ni aliyekuwa Rais wa CWT, Leah Ulaya, Rais Dkt. Suleiman Ikomba, Maganga...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kihongosi ataja sababu ya CCM kuendelea kuaminiwa na Watanzania

    CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimebainisha misingi mikuu inayokifanya chama hicho kuendelea kuaminiwa na kushinda chaguzi kuu za kiserikali nchini Tanzania. Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi amesema hayo kwenye mkutano wa hadhara...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Salim Asas: Wananchi tulinde amani na tuthamini kazi iliyofanywa na Serikali ya Rais Samia

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa(MCC) Salim Asas, amepongeza kwa kiwango utendaji kazi wa serikali inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akieleza kuwa imefanikiwa kuleta maendeleo makubwa katika sekta mbalimbali muhimu kwa ustawi...
  8. K

    JamiiForums Tanzania RESOLVED DOKEZO Daktari amempiga hadi kuzirai Muuguzi mwenzetu, hakuna hatua zilizochukuliwa. Waziri wa Afya, TAMISEMI tunaomba msaada

    Habari za wakati ndugu, Mimi ni mmoja wa wauguzi katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu (Somanda). Hivi karibuni hospitalini kwetu kumetokea tukio la kinyama, tukio la ukatili, tukio ambalo limeachwa kimya hakuna hatua zozote zimechukuliwa. Tukio lenyewe ni Daktari...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Neema Yako umewakutanisha Anna Maboya na Upendo Nkone, sikiliza upate faraja ya unayopitia

    https://www.youtube.com/watch?v=91T84O89JeA “Neema Yako” ni wimbo wa injili uliotolewa na mwimbaji wa nyimbo za Injili, Anna Maboya akimshirikisha Upendo Nkone. Wimbo huo umeachiwa kwenye Mtandao wa YouTube mnamo Mei 30, 2026 na unapatikana kama single yenye ujumbe unaosisitiza neema ya Mungu...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Tanzanian billionaire Edha Nahdi's Amsons Group is in advanced talks to acquire Oryx Energies for $250 million

    Tanzania's Amsons Group is in advanced negotiations to acquire Oryx Energies in a deal estimated at $250 million, according to sources familiar with the matter, in a transaction that would hand the Tanzanian conglomerate control of one of East Africa's most strategically positioned energy...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Amsons Group ya Tanzania inahusishwa kuinunua Oryx kwa Dola Milioni 250

    Kampuni ya Amsons Group yenye makao makuu yake nchini Tanzania, inaripotiwa kuwa katika mazungumzo ya hatua ya juu ya kuinunua kampuni ya Oryx Energies katika dili linalokadiriwa kuwa na thamani ya dola milioni 250 (Zaidi ya shilingi bilioni 650 za Kitanzania), kwa mujibu wa taarifa kutoka...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi Ya Kazi Wezesha Mzawa Microfinance – Loan Officer

    We are seeking a motivated, experienced Loan officer/ Credit officer to join our growing company. In this position, you will evaluate and approve or deny loan applications. You will act as liaison between financial institutions, individuals, and businesses applying for loans as well as process...
  13. K

    JamiiForums Tanzania KERO Ufungaji holela wa nyaya za intaneti Kariakoo si rafiki kwa mandhari ya Jiji

    Katika maeneo mengi ya Kariakoo, kumekuwa na ongezeko la nyaya za makampuni ya intaneti zinazofungwa kiholela juu ya nguzo, majengo, na hata kuvuka barabara bila mpangilio. Hali hii, licha ya kuonekana katika maeneo mengine ya jiji, inaonekana zaidi katika eneo hilo lenye shughuli nyingi za...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi kuhusu athari za vita inayoendelea baina ya Marekani, Israel dhidi ya Iran na hali ya mafuta nchini

    Vita baina ya Marekani, Israel dhidi ya Irani ilianza tarehe 28 Februari, 2026. Vita hiyo imeongezeka wigo kutokana na mashambulizi ya Irani kwa nchi za Saudi Arabia, Bahrain na Nchi za Falme za Kiarabu (UAE) ambazo ni wazalishaji wakubwa wa mafuta duniani. UTARATIBU WA UAGIZAJI WA MAFUTA...
Back
Top Bottom