Recent content by kayonko20

  1. kayonko20

    Waziri Kigwangalla ataka utaratibu wa karantini kwa wageni uondolewe ili kuvutia Watalii

    Kwenye hili janga hakuna mkweli huko ulaya wenyewe wamekuwa wasanii itakuwa hapa kwetu
  2. kayonko20

    Baada ya Malalamiko ya WanaJamiiForums, Rais Magufuli aandika kwa Usahihi kumpongeza Trump

    Hatujui kitakachofuata maana huyo jamaa sera zake jamaa kwa waislamu na waafrika siyo nzuri.
  3. kayonko20

    Wanaume huwa mnakosea hapa!

    Mwanamke kutoka lnje tabia ya mwanamke wapo wanaopewa huduma zote lakini bado wanatoka
  4. kayonko20

    Hivi Waziri Mkuu anaweza kumwamuru IGP kumkamata mtu?

    Hawatakiwi kufikiliwa tena acheni amri itumike tupate angalau heshima wapiga kura
  5. kayonko20

    Ukwepaji Kodi: Barua ya TRA kwa Bakhressa

    Mshahara wa dhambi mauti, hakuna lisilo mwisho hakuna kurudi nyuma. Wakati umefika watanzania kupata haki zao, tuzidi kuwaombea dua rais na waziri mungu awape uhai mrefu. Ili wafikie marengo yao. Inshalla
  6. kayonko20

    Aliyeokolewa mgodini baada ya siku 41, amuulizia Lowassa

    Tatizo vyombo habari vyetu baadhi haviko makini ktk kutoa habari
  7. kayonko20

    Barabara mpya ya Morogoro (STRABAG) inavunjwa

    Wezi sana hao jamaa ngoja tuone nn atafanya magufuli
  8. kayonko20

    Pinda apokelewa na Naibu Waziri Botswana

    Ni Kawaida tu sema ss watanzania hatuna dogo
  9. kayonko20

    UKAWA itabidi wajiandae kumuondoa Magufuli 2020 kirahisi

    Mimi namkubali jamaa yule
  10. kayonko20

    Msajili wa Vyama vya Siasa: Nitavifuta CHADEMA na CUF

    Hawa jamaa hawana jipya acha waaze kuhangaika
  11. kayonko20

    Hotuba ya Kikwete: World bank, EU na MCC ngoma bado nzito

    Kitu ambacho nimegundua Jana ktk hutuba ya raisi Anna, amekuwa kafara la wizi kwani wanajuana vizuri. Ukawa huu ndiyo wakati wetu hiyo dhambi tufanye kazi ya kuwaelimisha wananchi wizi wa hawa jammaa
  12. kayonko20

    CCM kwachafuka,mchawi anatafutwa

    Jambo ambalo naweza nikalisema ni kwamba watanzania wameanza kujitambua.
Back
Top Bottom