Recent content by kayogoli

  1. kayogoli

    JamiiForums Tanzania Scholarship USA

    Mimi namaliza mwezi huu chuo kikuu cha dar es salaam faculty Bsc. Meteorology nataka nikasomee Msc then Phd. In Atmospheric Science Nifanyeje ili nipate scholarship?
  2. kayogoli

    JamiiForums Tanzania BACHELOR DEGREE

    Mwache aamue yeye ili kama mambo yakikaba asimlalamikie mtu
  3. kayogoli

    JamiiForums Tanzania Kitovu kikubwa cha mtotoo

    Kwa mm navyojua sio tatizo kwani wapo watoto wenye hali kama hiyo na ni wazima! Kwa ushauri muone dakitari
  4. kayogoli

    JamiiForums Tanzania Tovuti ya HESLB ndivyo ilivyo au ni kwangu tu?

    www.heslb ac.tz umeingilia hii?
  5. kayogoli

    JamiiForums Tanzania Kafaulu kidato cha nne but ni combless

    Si anaenda private hamna shida mwambie aende tu no problema
  6. kayogoli

    JamiiForums Tanzania Tovuti ya HESLB ndivyo ilivyo au ni kwangu tu?

    Unatumia simu au kompyuta?
  7. kayogoli

    JamiiForums Tanzania Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

    Umechaguliwa shule-Ikungi Combination-HGL Wilaya ya shule uendayo-Ikungi Mkoa wa shule uendayo-Singida Nikutakie maandalizi mema
  8. kayogoli

    JamiiForums Tanzania Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

    Nipe jina lako na namba nikuangalizie
  9. kayogoli

    JamiiForums Tanzania Natafuta display ya Samsung Galaxy A7

    Display ndo nn mbona siijui
  10. kayogoli

    JamiiForums Tanzania Kwa nini inaitwa Vita Kuu ya Kwanza/Pili ya Dunia?

    Walobobea historia jibu tafadhari kwa barbarosa
Back
Top Bottom