Naomba mnisaidie wanaposema CV yangu iwe scanned and signed, sijajua wanataka signature ya nani? Ukweli nmeona kazi za NMB za northern, nmekuwa interested kuapply. Naomba msaada wenu ili nitimize masharti yao.
Good but don't trust anybody. Nowadays, people are highly doing evils every day and night since the world is now bigger than the devil himself. You're too young, keep praying.
Kama mtu mzima hupaswi kumnyooshea kidole mkubwa mwenzio bali katika suala lolote lenye kuleta sintofahamu, tunapaswa kujiuluza nini tungepaswa kufanya na kubwa zaidi nini kifanyike kuinusuru hali. Kila mtu kwa nafasi yake anapaswa kufanya lililo chini ya uwezo na mamlaka yake na si jambo la...
Mimi ni mwalimu wa sekondari nataka kuhama kwenda mkoa mwingine. Hivyo basi naomba mdau yeyote mwenye waraka mpya wa hivi karibuni anitumie sasa hivi. Maana nilionao ni waraka wa zaman kidogo. Please, naomba msaada wenu..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.