Kwa yeyote aliyewahi kununua gar kwa kuagiza Japan naomba msaada gari ambayo inauzwa Japan Dora 3000 mpk ikafike kwangu inaweza kugharimu tshs ngapi kwa kutumia kampuni ya be fowarded
Kwa aliyewahi kuagiza gari japani anisaidie hivi gari inayouzwa japani Dora 3000 mpk ikafike hapa kwa kutumia kampuni ya be fowaed inaweza kuchukua tshs mpk inifikie mlengwa
Nimesoma habari hii katika mtandao fulani wa kijamii ukidai kuwa lulu muigizaji maarufu kuwa ametoka akiwa na kitumbo. Sasa ninajiuliza aliempa hicho kitumbo ni nani kama ni kweli?
Nimeona wanawake wengi sana Mara wakitoka kujisaidia haja ndogo wamekuwa wakijisafisha kwa toilet paper, sasa Mimi najiuliza hivi kweli toileti paper huwa inaondoa uchafu? Au inasiriba tu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.