Natafuta mme wa kunioa

Hasira hasara tulia kwanza tafakali maisha alafu ndio chukua uamuzi
 
Duuuh inashangaza kdogo wanawake wanaotafuta wenza hapa JF ni lazima utakuta kajeruhiwa kwanza huko alikotoka
 
Mie ni msichana na umri wa 23 pia nina mtoto mmoja ana miezi 6, nimezalishwa tu na mtu alonizalisha hanitaki na isitoshe ameoa mwanamke mwingine. Kwa hiyo atakae kuwa tayari kunioa na tuishi kwa amani nipo tayari.
Miezi sita subiri kidogo mtoto akue.
 
Kuzaa sio shida. Weka sifa za ziada kama elimu, umbile lako, kabila lakini pia nawe unamtaka Mme mwenye sifa zipi
 
Mie ni msichana na umri wa 23 pia nina mtoto mmoja ana miezi 6, nimezalishwa tu na mtu alonizalisha hanitaki na isitoshe ameoa mwanamke mwingine. Kwa hiyo atakae kuwa tayari kunioa na tuishi kwa amani nipo tayari.
Sema unatafuta wa kukulea mtoto. Ila anagalia ucje mfanya mtoto fundi via2
 
Usimimbilie ndoa kama upo instagram follow singlemotherstz au facebook itambue thamani yako mwanamke ingia huko soma kwa makini post za watu tutakutana kule plz ingia hizo group
 
Calm down kwanza lea mtoto wako akue my friend miezi 6 bado mdogo na pia hauna muda tangia umeachana na huyo baba mtoto wako

Humu utapata wanaume watakao kupa Stress hadi ujutie uamuzi wako hawato kuacha salama humu wanacho tanguliza ni kula dodo tuu alale mbele tena una mtoto mdogo hivyo komaa nae kwanza mtoto asije kuwa fundi viatu

Pia umri wako miaka 23 bado sana jipange uta vuka tuu hiyo mitihani na majaribu una pitia kila kitu kina pita hakuna kita baki milele
Hali ngumu mkuu, mtoto anamleaje?
Huyu anatafuta mtu wa kulea mwanae
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom