Nipo mbele yenu wana jukwaa wenzangu nimeoa, na Niko kwenye ndoa kwa muda wa miaka mitatu sasa. Tatizo langu ni kwamba nimewahi kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na binti mmoja kwa miaka miwili hatukufanikiwa kupata mtoto. Tukaacha si kwasababu ya kutopata mtoto Bali Mimi nilienda chuo nayeye akaenda kusoma kwa bahati nzuri yeye akamaliza chuo akaolewa Mimi nikapata binti ht sikuhangaika ndani ya wiki binti mimba namtoto tunafanana sana nikapata mwanamke mwingine ndani ya wiki mimba. Lkn sasa Niko kwenye ndoa halali ya kanisani huu mwaka was tatu hamna mtoto shida nini ndugu zangu naombeni ushauri wenu. Nakosa raha Mimi ni mwanaume.