Recent content by kavumaa

  1. kavumaa

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mambosasa: Tunamtafuta Mbowe, pia tunawashikilia Askari 6 waliotumia silaha za moto kudhibiti waandamanaji

    Acha niwe mtazamaji tu, Acha niwe mpenz mtazamaji. Utatumiaje siraha na wakati kuna teargas aki woooy Tanzania
  2. kavumaa

    JamiiForums Tanzania Usiamini kila unachoambiwa na mwanamke,suala hili limenifedhehesha sana

    Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha, wewe jamaa bana kwani ndo umewajua baada tu ya hilo tukio
  3. kavumaa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utabiri: Odinga anaenda kushinda Urais

    Unajua ukiwa dreva mzuri wa bajaji ( ukawa unafuata sheria za Barabarani vizuri haimaanishi basi hata ukipewa gari utaweza kuendelea. Raila anafaa awe mwanaharakati wa kutetea haki za binadamu na sio kuongoza nchi. Maana ana deserve kabisa maana ni mpiganaji na huwa akiamua jambo basi...
  4. kavumaa

    JamiiForums Tanzania Kortini kwa kudai kachero wa usalama wa Taifa anamchunguza Mhe. Tundu Lissu

    Ukijafanya una mapepo tunakema na ukija kama upepo utapepea, siku hizi hakuna mtu anayetaka ujinga. Pole yake
  5. kavumaa

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Hii midoli ya kufanyia mapenzi imekaa vipi ndugu zangu?

    Kwa mawazo yangu, Mungu hajakosea kumuumba mwanamke. Mdoli atabaki kuwa mdoli tu, Maana huwezi fanya jambo lolote lenye msukumo ukiwa na mdoli. Mtu akikupa changamoto ndio njia ya kukufanya kupiga hatua ama kurudi nyuma
  6. kavumaa

    JamiiForums Tanzania Wanawake: Tujihadhari na uchumba sugu

    Hahahahahaha
  7. kavumaa

    JamiiForums Tanzania Serikali mmeshindwa kutoa mikopo kwa wanafunzi wa diploma, fungeni hivi vyuo

    Elimu UOTE="technically, post: 18291299, member: 373722"]Elimu inakufa hawamu hii..... Na huku ndiko utoka engineers na watu kama Professor Mark haiwezi Elimu haiwezi kufa ila utaratibu tu ndo mbovu
  8. kavumaa

    JamiiForums Tanzania Nataka kumpeleka mke wangu chuo lakini roho inasita

    Hapo umenena
  9. kavumaa

    JamiiForums Tanzania Jambo la kushangaza!

    [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  10. kavumaa

    JamiiForums Tanzania Dar mpaka mwanza

    Hahahahahaha nice
  11. kavumaa

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Wenyewe ndio chazo cha haya yote
  12. kavumaa

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Jiografia

    Watu wanamaswali ya msingi sana, na sio kwamba hawajui bali tunahitaji kujokumbusha maana ni mda kitambo. Majibu tafadhari
  13. kavumaa

    JamiiForums Tanzania Sheria Tatu (3) Za Mafanikio (3 Laws Of Success)

    If you fail to plan, you plan fail
  14. kavumaa

    JamiiForums Tanzania Kubenea kumvaa Kikwete; Ni kuhusu kauli yake ya kugombea uenyekiti wa CHADEMA Pwani na Sumaye

    Umenifurahisha sana na msemo wako[emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Nisawa na kusema kufumbatia maji kama jiwe ni ujinga
Back
Top Bottom