Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 15,888
- 36,270
- Thread starter
- #61
Mkuu ni kweli sayari tuliambiwa ziko tisa, ila ukumbuke technolojia inakua kila siku na hata katika sayansi wanakiri kwamba hawana majibu yote katika sayansi, hivyo kuendelea kugundulika sayari nyingine katika galaxy nyinginezo si kitu cha ajabu!!Mbona naona maswali tu sioni majibu huyu mtoa uzi ameishia mitini?
Jiografia za nyuma kidogo hata miaka ya themanini zilituaminisha kwamba ulimwengu una sayari 9 leo wansema wameshagundua mass nazingine sijui zina majina gani; je hizi zimetokea hivi karibuni.....au uwezo wa mwanasayansi tusiuamini sana?
Universe is infinity!!