Recent content by kauzu12

  1. kauzu12

    Wimbo wa Afande Sele aliozungumzia Rais ni upi?

    Itakua ivyo si unajua tena rais wetu alivyo. Kakariri huo wimbo
  2. kauzu12

    Aina 10 za Wanawake wa kupaswa kuogopwa.

    Ntafanya lakini nimemzoea sana inafikia hatua nashindwa kumuacha
  3. kauzu12

    Aina 10 za Wanawake wa kupaswa kuogopwa.

    Uko sawa kabisa me nampenzi ni mchoyo, mbinafsi,muongo, anajipenda yeye tu. Mkali kama yule jamaa wa magogoni posta
  4. kauzu12

    Kila Mtu Aweke Uongo Wake Hapa

    Kwenye serikali yangu siwezi kumteua mpinzani. NEVER!!
  5. kauzu12

    Wanawake wana lawama za ajabu sana

    Msemakweli leo kaamua kusema kweli kwamba ana gari2
  6. kauzu12

    Vifo vya majini! Namna nyingine ya kuongeza mapepo

    Sizani kama ntapata usingizi leo
  7. kauzu12

    ULAYA: Hali kali ya baridi na Uangukaji wa theluji waua watu kadhaa barani humo

    Nimemiss bongo, baridi la uku ni hatari
  8. kauzu12

    Sizonje usichanganyikiwe, Mambo bado!!

    Sizonje ana maneno mengi vitendo vichache
  9. kauzu12

    Karibu chatroom: Uliza chochote kuhusu makaburini, mochwari na wafu

    [emoji3] [emoji3] [emoji3] hapo ndipo unafiki wetu unapotimia
Back
Top Bottom