Recent content by Kausha damu

  1. Kausha damu

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu wa kawaida anatakiwa kunywa chai na vitafunwa vingapi?

    Kuna msukuma tuko nae hapa sozia anakula chapati 10 na supu mara ya kwanza kumuona nilishtuka kumbe ndo kawaida yake
  2. Kausha damu

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa, hata wakisoma VETA Baada ya kuhitimu wanahitaji aidha mtaji au waajiriwe

    Lakini sijaona ubaya wa waziri mkuu ulipo swala la ajira ni la dunia nzima kinacho mata hapa wewe nenda veta kapate ujuzi kama ni makenika piga ufundi wako huku ukiendelea kufukuzia kazi ya degree yako
  3. Kausha damu

    JamiiForums Tanzania Kama chanzo cha uhai kinaweza kubadilika basi uhai wenyewe hauna msingi thabiti hadi sasa. Je, ni upi msingi wa uhai?

    Msingi wa uhai ni Mungu mwenyewe na ndo maana hakuna mtu yeyote au kitu chochote kinaweza kutoa uhai Biblia inasema Mungu alimuumba mwanadamu kwa udogo kisha akampulizia pumzi ya uhai mwanadamu akawa hai
  4. Kausha damu

    JamiiForums Tanzania Kumbe Majini sio viumbe vya kuogopa, yana vibrate at low frequency kuliko sisi

    Huku kwetu kuna wachawi akiiangalia tu hyo mboga haivi hata uipike mwezi mzima sasa hizo habari zenu za frequence ni stor
  5. Kausha damu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kuendelea kuvaa wigs kwa majaji na maspika wa mabunge ya Kenya siyo ukoloni wa kujitakia?

    Wazuie kwanza mama wa kitanzania kuvaa mawigi ukiweza ndo uanze kujaji wakenya
  6. Kausha damu

    JamiiForums Tanzania Katavi: Ahukumiwa jela miaka 60 kwa kubaka Mwanafunzi

    Wewe unahukika gani kama kabakwa yani kaja geto Mara 2 unasema kabakwa
  7. Kausha damu

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz ameshirikishwa kwenye album mpya ya Alicia Keys

    Tusubili mda ndo kila kitu
  8. Kausha damu

    JamiiForums Tanzania Tanzania yapinga ripoti ya UN ya Tume ya Haki za Binadamu

    Taarifa hyo sasa
Back
Top Bottom