Recent content by kauleni

  1. K

    JamiiForums Tanzania JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

    No Reforms No Election
  2. K

    JamiiForums Tanzania Vijana shirikini uchaguzi, reforms zote hufanyika bungeni sio mitandaoni

    Hakuna Mabadiliko Hakuna Uchaguzi
  3. K

    JamiiForums Tanzania JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

    No Reforms No Election
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kwa Kibaha-Maili moja Eid inaswaliwa sehemu gani?

    Swala inafanyika hapa pembeni ya kituo cha daladala Maliasili
  5. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mfanyakazi yoyote wa TTCL

    Piga *102# au *148*30# Kuingia kwenye menu
  6. K

    JamiiForums Tanzania George Marato awekwa chini ya ulinzi

    Kabisa aende zake. Utaishia jela huku nyuma yule uliyemfanya alizaliwa kwa ajili yako ataendelea kupanua na wengine watazaidi kutamani.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi!

    Kwa hiyo Maalim Seif aligombea kama mwarabu aliyepinduliwa mwaka 1964??
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi!

    Kwani kuna sifa zilizojificha/kufichwa zaidi ya hiyo ya kuwa Uraisi wa Zanzibar??
  9. K

    JamiiForums Tanzania Prof Kitila Mkumbo: ACT - Wazalendo sio mazuzu wa kususia Bunge

    Akili ni nywele kila mtu ana zake.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nimeacha Kushabikia Taifa Stars rasmi

    Inauma, yaani CCM ni ileile na Taifa stars ni ileile.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Majina ya Wabunge Viti Maalum hadharani: CCM-64, CHADEMA-36, CUF-10

    Hakika, huyo si tu uanachama hata upenzi/unazi wa chama apokonywe. Ametuharibia sana.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri uwanja wa CCM Kirumba-Mwanza: Mkutano wa kufunga kampeni za CCM, Oktoba 24

    Mtikila hakuwa mgombea wa uraisi. Ili mtu awe mgombea ni lazima apitishwe na tume ya uchaguzi baada ya kukidhi vigezo. Kusudio tu la kwenda mahakamani halimaanishi kuwa kesi imefunguliwa hadi pale utakapofika mahakamani.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mkutano wa kufunga kampeni za CHADEMA - Jangwani, Dar - Okt 24, 2015

    Mtu mzima unatoka chooni huku unafuatwa na nzi inamaanisha nini?? Kwa mtoto nitamsamehe, hajuwi kuchamba, wewe je??
Back
Top Bottom