chebi hajabakwa huyo ana miaka 27 ujue hapa hajahadaika tatizo " i love u swrty inamchanganya"" chebi kwani kila anayekufata na kukuomba unamkubalia????
NA AKUMBUKE HAITOTOKEA SIKU YA MAHAWARA DUNIANI
tukushauri nini???
uamuzi ni wako umpe kitumbua au usimpe.
ni kitu rahisi sana hichi ila naona kama unalegea unawaza kuachia kidude.
USHAURI WANGU::::
Huyo ni mume wa mtu sasa basi hakikisha ukimpa gemu awe na mkwanja mreefu siyo utembee nae bila faida kama hana hela mfungulie mashtaka ya...
tena bora hata akutongoze atakupa heshima wengine wanabaka kabisaaaa
mwanamke kutongozwa kawaida sna na tusipotongozwa lazima uwaze mara 2 tena ukiwa na roho nyepesi kwa kalumanzira utaenda kisa hujatongozwa
mjombako atakutonngoza nini rafiki
bibie hamisa jipange wee yako baridi tu huipati joto ng'ooooo hao ndo wanaume ukiwaendekeza miaka yote mpaka unakuwa bibi we umekwa kinyumba na mume wa mtu
hakuna kitu kizuri kama kuitwa mke wa fulan (mrs)
we mwache mwenzio kapenda kuwa uhawara kugegedwa mchana tu usiku mpaka mume asingizie safari tena na mwenzie anacheo cha mrs yeye hawara a.k.a kimada, nyumba ndogo, kipozeo na kadhalika na usomi wake wote huo kipindi cha baridi anapopata shida wakati mwenzie kakumbatia hata baridi haijui
njoo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.