Recent content by katoto22october

  1. katoto22october

    BOXER decoration Kuanzia Lights mpaka Tires

    Mleta mada vipi ulipata mdau wa kupodoa pikipiki yako
  2. katoto22october

    Bidhaa gani zenye mzunguko mkubwa naweza kuagiza toka China kwa 10M

    Yaan mtu anafungua thread ya kuomba ushauri wa mambo ya biashara kwa nia njema.. baada ya muda wadau wanaomba mrejesho kwa nia njema.. mleta mada anaanza kutoa shombo. Ndio maana kuna wale wazee wa kukoment shombo huwa wanafanya hivo kwa kuwa wanayajua haya yatakuja baadae
  3. katoto22october

    Naomba kujuzwa biashara ya kuosha magari (car wash)

    Jaman uzi uendelee tupate mafini hapa
  4. katoto22october

    Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Biashara hii inahitaji angalau mtaji wa sh ngapi na return yake ikoje kwa mtaji utakaoupendekeza? Ikiwa tayar umeshalipia frem na kuiandaa
  5. katoto22october

    Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Sawa. Lakini niliwaza kuweka yote kwa sababu ni mtaji usihitaji kununua kitu zaidi ya kulipa kodi na marekebisho ya ofisi tu.. kwa maana hata kama hakuna mzunguko kwa miezi 6 niliyolipa kodi kama uliweka 9m itabaki vile vile, kama sijakutana na wale matapeli
  6. katoto22october

    Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Habari.... Naomba kuuliza. Kwa iyo milioni kumi kwa kipindi hiki je nikiwa na laini 3 za wakala wa pesa kama mpesa, airtel money na tigo pesa ntakosa angalau milioni 1 kama faida kwa mwezi? Nb: Eneo ninalowaza kufungua angalau lina changanikeni ya watu..
  7. katoto22october

    NI aibu mkuu wa nchi kukimbia hoja za kikokotoo Mei mosi na kutuma wawakilishi, hili kwake ni mwiba siku inakuja

    neno lake kuwa tunaenda kulitazama linaendelea kuligharimu. Hapa ndio kuna kazi yaan
  8. katoto22october

    Airtel sasa wameanza kuvuruga mfumo wao wa biashara..

    Habari wadau Airtel sasa wameanza kuvuruga mfumo wao wa biashara.. Airtel matangazo mengi kwa maana ya promo na sasa mmefikia hatua mmeanzq kuharibu biashara.. yaan imefikia hatua mmeanza kumpangia mtu matumizi ikiwa kipato cha kupata huduma kutoka kwenu ni cha kwake na kifurushi anachokihitaji...
  9. katoto22october

    Msaada: Nyumba ya contemporary inavuja

    Uko sawa boss [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
  10. katoto22october

    Mnada wa TRA wa mtandaoni- Changamoto na maoni yangu

    Wakuu habari vp... Me naomba kuuliza ni nini kinatokea kwenye mnada unapokua unaendelea pale TRA ONLINE AUCTION. Maana oktoba tano nimeshiriki mnada wa gari kama mbili hivi lakin kina wadau wakanizidi gap mbali sana nikajua ndo washindi hapo sina changu.. mnadq ukaisha muda wake.. cha...
  11. katoto22october

    Mnada wa TRA wa mtandaoni- Changamoto na maoni yangu

    Wakuu habari Naomba kuuliza hivi ukishinda mnada wa gari au pikipiki unaweza kumtuma mtu kukuchukulia? Vigezo ni vipi?
Back
Top Bottom