Recent content by Katitima

  1. Katitima

    JamiiForums Tanzania Fine ya kuingilia mradi wa serikali(tanroads)

    Ahahhaaaaa, sasa basi sote tuwe na usiku kama huko kwenu nako ni usiku kama huku kwetu.
  2. Katitima

    JamiiForums Tanzania Fine ya kuingilia mradi wa serikali(tanroads)

    Nilitamani tu angalau ujumbe wangu ufike hata kama utakuwa umechelewa na nashukuru imekuwa hivyo na bila shaka sijamkwaruza mtu labda ni mbaya kama umekwaruzika mzee mwenzangu
  3. Katitima

    JamiiForums Tanzania Fine ya kuingilia mradi wa serikali(tanroads)

    Sasa mkuu unaambiwa ni kosa unaendelea kuleta excuse unataka ujibiweje? Kwani maeneo ya jeshi wanapoweka katazo labda la kutokupita nawe ukapita pasipo kufanya chochote kama unavyo sema huwa nini kinatokea? Huko kupita tu sehemu yenye katazo ndo kufanya chochote sasa.
  4. Katitima

    JamiiForums Tanzania Bachelor of Security and Strategic Studies at Institute of Accountancy Arusha (IAA)

    Anamaliza mwezi July bila shaka atakuwa tayari kutumika kuanzia August.
  5. Katitima

    JamiiForums Tanzania Nissan Dualis yawaka moto. Hizi gari zina shida gani?

    Huu ni uongo mkuu, hebu lete tena feedback maana zishakuwa nyingi. Me nina yakwangu namba C ipo tangu 2014 haijawahi hata kutoa harufu ya moshi.
  6. Katitima

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya ACSEE 2008

    Na sisi wa 2005 utatuitaje?
  7. Katitima

    JamiiForums Tanzania Je, LBL sio Matapeli kama Matapeli wengine?

    Tupe code mkuu tujilipue.
  8. Katitima

    JamiiForums Tanzania Bachelor of Security and Strategic Studies at Institute of Accountancy Arusha (IAA)

    O Ok,hawa jamaa walikuwa/wanatoa hata kwa raia pia? au ilikuwa ni maalumu kwa ajili ya maafisa wao?
  9. Katitima

    JamiiForums Tanzania Bachelor of Security and Strategic Studies at Institute of Accountancy Arusha (IAA)

    Asante, angalau napata pa kuanzia japo bado natamani kujua application yake huku Duniani
  10. Katitima

    JamiiForums Tanzania Bachelor of Security and Strategic Studies at Institute of Accountancy Arusha (IAA)

    Habari za kazi wanajamvi. Samahani, miongoni mwa kozi nne alizopata bwana mdogo katika maombi ya vyuo vikuu kwa msimu wa masomo wa 2022/2023 ni pamoja na kozi tajwa hapo juu (Bachelor in Security and Strategic Studies at Institute of Accountancy Arusha (IAA) Binafsi nimetamani kuijua kozi hii...
  11. Katitima

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Verification Certificate inayopatikana kwenye Ajira Portal

    mkuu ulipata msaada hapa? kuna mdogo wangu pia anapata shida kama hii na akiomba maombi yanakuwa rejected
  12. Katitima

    JamiiForums Tanzania PSRS: Ajali zote hizi bado usahili wa madereva mnafanya ujanja ujanja??

    Chief tupeane japo uzoefu kidogo wa hii pannel na mfumo mzima wa usaili maana kuna bwana mdogo ameitwa kwenye hii awamu nyingine na yupo huku Mwanza kama ni magumashi apige tu chini mapema
  13. Katitima

    JamiiForums Tanzania UTAPELI wa Kazi za African Child Aid (CHUKUA TAHADHARI) | Beware of Scam

    Date 3rd December, 2018. Ref: Hunger Aid Africa Field Officer, Dear Cosmas, Thank you for showing interest in working with us. We are writing to inform you that after reviewing your resumes and credentials, you have been shortlisted for the above reference in our organization. This position...
  14. Katitima

    JamiiForums Tanzania Soko la Agriculture Engineers (waandisi kilimo) kwenye ajira

    hatari sana yule mzee kaka.naona huyo kijana hapo juu analeta madoido hapa
Back
Top Bottom