Recent content by Katembe

  1. K

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kuku wa mayai (layers)

    Kuku bora agiza kwa Patricia mbeya songwe
  2. K

    JamiiForums Tanzania SWALI: Huu ni ugonjwa gani wa kuku kwa dalili hizi ?

    UMRI GANI
  3. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli yashamshinda?

    Heshimu mamlaka iliyopo kwani kila mamlaka imewekwa na Mungu.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Hongera sana baraza kuu la UVCCM Taifa kwa maamuzi sahihi ingawa yamechelewa

    Biblia inasema wanafiki na waandishi wenye kupotosha hawataenda Mbinguni, wewe LIZABONI kuandika kote humu JF hukuyajua haya? semeni basi na pale ZANTEL karibu na ubalozi wa Marekani nani anapafaidi?nani walisaini?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Hii ni....!

    Naomba kujua zinaitwaje kwa kiingereza.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye ufugaji wa kuku wa mayai

    Kesho nitawapa namba zake za simu , huwa hana wakala ila vifaranga vikitoka anasambaza mikoa yote kwa wateja waliokwisha lipia hadi majumbani mwao kwa magari yake.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye ufugaji wa kuku wa mayai

    Next time nitawafundisha jinsi ya kupata hizo % e.g 18% crude protein unaipataje.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nina Shamba ekari 6 Mkuranga, ni kilimo gani chenye tija

    Acura naomba msaada nitapataje hiyo mbegu ya minazi ya kisasa?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye ufugaji wa kuku wa mayai

    Vifaranga vizuri vyenye uakika wa kuchanjwa MEREKSI vinapatikana Songwe Mbeya kwa mama Patricia, uliza wafugaji wengi wakubwa wanamfahamu. Vifaranga vyake ni aina ya Issa brown. Bei 2,200 kwa kimoja. Chakula waweza nunua au tengeneza mwenyewe. Ulaji wa kuku mmoja ni kg 0.125 per day zidisha na...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kukosa result slip ya A-level kunaweza kunikosesha ajira?

    Toa taarifa polisi ya kupotelewa na result slip, toa tangazo gazetini, ambatanisha risiti ya polisi na kipande cha tangazo lililotoka gazetini nenda kaomba result slip baraza la mitihani.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa baraza la wazee CHADEMA ampongeza Magufuli

    Hata mimi nampongeza JPM kwa kutuchagulia Prof Ndalichako kuwa waziri wa elimu, mama anapiga mzigo wa uhakika.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kama Kagame ni mfano wa kuigwa wa Rais Magufuli, Tanzania tuna bahati mbaya

    Mechard tuambie wewe unataka JPM ajifunze kwa nani mwenye nchi yenye historia inayofanana na Tanzania, pia ni wapi ulisikia JPM akisema mshauri wake ni PK pekee, JPM anasoma humu mitandaoni, hata wewe unaweza kumshahuri jambo akiona lafaa atalichukua, wewe kwenye familia yako nani huwa...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Hokkaido, Japan.

    Mwenye picha ya Kariakoo atupie tafadhali.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Meya wa Kinondoni aungana na Meya wa Jiji kumpinga Makonda

    Kwa mfano kila mkoa ukafukuza wasio na kazi maalumu inabidi tuamie nchi gani?
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ni nini kinachoitafuna Zanzibar ndani ya NECTA? 10 baya la mwisho shule saba?

    Natamani kujua huko Unguja kuna shule ngapi za A-Level, usikute ziko hizo hizo 7 na wote wamefeli.
Back
Top Bottom