X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,790
- 15,016
wana jf naomba mnisaidie nimesoma katika ngazi mbali mbali za elimu o-leve A-level hadi chuo kikuu ni miongoni mwa vijana tunaosubiri ajira ila tatizo langu miongoni mwa vyeti vyangu nilivyo navyo nimegundua result slip yangu ya kidato cha 6 haipo ila vyeti vyote ni navyo je kupotelewa na hiyo result slipi hakuwezi kuwa kigezo cha kunikosesha ajira....? naombeni mawazo yenu ndugu zangu