Recent content by kateman

  1. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kutoka uwanja wa Mpilipili: Mkutano wa Dr. Magufuli jimbo la Lindi - Oktoba 12, 2015

    Waache waende msituni sisi tunaenda ikulu
  2. K

    JamiiForums Tanzania Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

    Mchungaji alikuwa na kiherehere ndio maanakashobokewa yeye
  3. K

    JamiiForums Tanzania Azam Tv kurusha Mkutano wa Lowassa

    Kushangaa ni kawaida yenu maana hata makofuli anashangaaga mpaka udenda unamtoka! So hili sio tatizo lako pekee
  4. K

    JamiiForums Tanzania Dalili njema za CCM kushinda

    Na mtambue tangu leo kuwa mwaka huu ni wa mabadiliko! Uteja wa yanga kwa simba kwishney vivyo hivyo ccm haina chao kwa kwa chadema mwaka huu! Unaambiwa mungu sio wa upande mmoja
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nako huku kumbe kuna mfumo!

    Quinn imeanza kuwaingia bado kafuti mzime kabisa ahahahaha
  6. K

    JamiiForums Tanzania UKAWA waongea na Waandishi wa Habari kuhusu Utafiti wa TWAWEZA

    Mtalia sana mwaka huu!! Ni kwa style ileile mlokuwa mnatumia miaka ya nyuma kukacha midahalo! Sasa limewakumba mnalia!! Poleni malipo huwa ni hapahapa duniani.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa Kihistoria wa CHADEMA Mwanza, Ulirushwa live kwenye TV na Radio

    Povu la nini? Mbona mwenziwe lembeli humtaji au umejitoa ufahamu kutomfahamu kuwa naye alikuwa anakaribishwa?
  8. K

    JamiiForums Tanzania GE2015 Picha: Tulichokishuhudia katika mapokezi ya Magufuli Jijini Mwanza, upinzani unafutika

    Kwa watu hawa 40 alokuwa nao makofuli natabir kwamba kwa mara ya kwanza mgombea uraisi kwa tiketi ya sisiem anashindwa vibaya! Wanavyojifariji wti tuna kura zote za kanda ya ziwa ahahahaha majibu mmeyapata!! Kazi kwenu
  9. K

    JamiiForums Tanzania kosa la kwanza la mh.dk. magugufuli j.p.

    Kweli kabisa hilo kosa kubwa la kwanza ambalo amefanya lakini mi nahisi kashinikizwa hapo sio chaguo lake kutoka moyoni!!
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kwa nilichokiona hapa hivi sasa, Kweli CCM imechoka

    Kiukweli hata mimi nimeona na kusikia live! Mleta mada kama ulikuwa pembeni yangu vile!!
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kuiondoa CCM Madarakani kwa kutumia demokrasia ya ubaguzi ndani ya vyama vya upinzani ni vigumu

    Ahahahaha! Unataman ukawa ife! Ndiyo hivyo sasa mfuate zito si yupo shida iko wapi sasa?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Vodacom ni wezi

    Nyoko nyie ni wezi na majibu yenu huwa ndo haya kila cku mara ooohooo mitambo ilikuwa na matatizo mara nn. Nyie mitam o inaharibika kulamba salio la watu tu mbona haiaribiki tukakuta salio limeongezeka au tukapiga sim bureee. Pumbavu zenu majizi nyie.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Vodacom ni wezi

    Voda ni mezi kinoma juzi tu kilaini chao nimetupa kule nikahamia kwa baba yao airtel sasa ni mwendo mdundo tu. Ushaur ndg zangu wa voda kimbien mapema la sivyo yatawafilisi haya mjambaz. Q
  14. K

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuingiza simcard mbili kwenye tecno H6 ?

    ndg zangu mlionipa maelekezo nawashukuru sanaaa maana sim imekubali na inapiga mzigo vzr sana. God bless you!
  15. K

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuingiza simcard mbili kwenye tecno H6 ?

    na mimi nimeikata lakini bado nikiwasha sim inaonesha no simcard detected.msaada zaid jaman au kuna settings hazijakaa vizur?
Back
Top Bottom