Mkuu au wewe unatokea Sehemu za wafugaji nini?ninamashaka 100% na huu uteuzi wake wa makamu wake. hii ni kete ya kwanza kwa ukawa. mutakuja kuniambia. kila la heri.
ninamashaka 100% na huu uteuzi wake wa makamu wake. hii ni kete ya kwanza kwa ukawa. mutakuja kuniambia. kila la heri.
Vice president ni cheo chepes hakina changamoto hata lemutuz ana kimudu pasi nashaka
Vice president ni cheo chepes hakina changamoto hata lemutuz ana kimudu pasi nashaka
ninamashaka 100% na huu uteuzi wake wa makamu wake. hii ni kete ya kwanza kwa ukawa. mutakuja kuniambia.
Amefanya choice nzuri tu
Hili ndo tatizo la nyie ukawa kazi yenu ndo iyo yaani mnasema tu amekosea na wala hamsemi amekosea nini na kwa sababu gani. Nyie kazi yenu ni kuponda na kukosoa tu ili mradi muonekane mmesema. This is the forum of great thinkers kama unasema kitu toa na maelezo ya kutosha kuweza kuwa convince great thinkers. Na kwa akili zenu hizo nitazidi kuamini kuwa it will take years and years kuweka kushika dola ya hii nchi.ninamashaka 100% na huu uteuzi wake wa makamu wake. hii ni kete ya kwanza kwa ukawa. mutakuja kuniambia. kila la heri.