Azam Tv kurusha Mkutano wa Lowassa

Azam Tv kurusha Mkutano wa Lowassa

Status
Not open for further replies.
Viwanja vya back tanganyika,gharama za maisha zilivyopanda,mkate gongo lamboto ni ts1600,wacha na mimi nikazimie kwa mahaba,lowasa amekuwa faraja kubwa, hali ni ngumu baadhi ya watumishi wa serikali mshahara haujatoka.
 
Lowasa na Sumaye wanatufanya watanzania hamnazo! kwa kuwa niko hapa jirani, ngoja nikasikilize utu.mbo wao sijui wataruhusu maswali! Na tunavyoendaga kuwashangaa utawasikia "Umeona nyomi"kumbe wengine tunawashangaa tu!

Kushangaa ni kawaida yenu maana hata makofuli anashangaaga mpaka udenda unamtoka! So hili sio tatizo lako pekee
 
Baada ya wao kuondoka mmevifanyia nini ? Punguza umalaya ... Lowassa na Sumaye ndo wanawasafirisha Twiga na kuua Tembo? Lowassa na Sumaye ndo walioingia mikataba ya Gas? Dhahabu? ndo waliuza viwanda na migodi? Ndo waliojenga mabarabara yenye Mahandaki? ... Ujinga huu peleka Lumumba ... ZZK unaweza mkatikia vema
View attachment 293472
Lowasa na Sumaye ndo wamesababisha kuwepo na magofu kama haya badala ya viwanda
 
lowasa na sumaye wanatufanya watanzania hamnazo! Kwa kuwa niko hapa jirani, ngoja nikasikilize utu.mbo wao sijui wataruhusu maswali! Na tunavyoendaga kuwashangaa utawasikia "umeona nyomi"kumbe wengine tunawashangaa tu!

Wewe acha kuropoka kama Magufuli. Mbona mnasifia nyomi ya fiesta ya dodoma. CCM ndio imeuwa viwanda toa blanketi usoni
 
View attachment 293472
Lowasa na Sumaye ndo wamesababisha kuwepo na magofu kama haya badala ya viwanda

ASANTE KWA PICHA.....
attachment.php
 
Na nyie mliokwenda kuwaona Lowasa na Sumaye pale Tanganyika Packers kweli hamjiulizi?Mawaziri wakuu ambao wameshindwa kufufua hicho kiwanda na leo wanaona poa tu kufanyia mikutano hapo,Wakati kiwanda hicho kingepunguza unemployment Tanzania.

Mbona ccm walioshindwa kila secta wanafanyia mikutano maeneo yoyote waliyoshindwa hilo hushangai?
 
Machozi ya nini sasa ... ?
Lowasa na Sumaye wanatufanya watanzania hamnazo! kwa kuwa niko hapa jirani, ngoja nikasikilize utu.mbo wao sijui wataruhusu maswali! Na tunavyoendaga kuwashangaa utawasikia "Umeona nyomi"kumbe wengine tunawashangaa tu!
 
wewe acha kuropoka kama magufuli. Mbona mnasifia nyomi ya fiesta ya dodoma.ccm ndio imeuwa viwanda toa blanketi usoni

Angejua tafsiri ya nyomi asimwaga uharo aliomwaga hapo msamehe tu
 
View attachment 293472
Lowasa na Sumaye ndo wamesababisha kuwepo na magofu kama haya badala ya viwanda
Wewe una chuki binafsi.naweza kukupa history ya kiwanda hivi mzazi wangu alishawahi kuwa manager miaka iyo.ccm ndo wametufikisha hapa Mkapa ndo alimaliza kabisa ila Mwinyi ndo alichangia lwa asilimia kubwa sana.ukitaka nianzishe topic tujadili.acha siasa za kijinga.
 
Na nyie mliokwenda kuwaona Lowasa na Sumaye pale Tanganyika Packers kweli hamjiulizi?Mawaziri wakuu ambao wameshindwa kufufua hicho kiwanda na leo wanaona poa tu kufanyia mikutano hapo,Wakati kiwanda hicho kingepunguza unemployment Tanzania.

Victoire naomba kuuliza,hivi Lowassa na Sumaye wamekwisha wahi kuwa Viongozi wakuu (Rais) wa Nchi hii tokea lini?..Hivi unajua ni kwa nini wananchi wote wanamchagua Rais na wala sio Waziri Mkuu?Mkataba wa kura na Maendeleo huwekwa baina ya wananchi na Rais ama Diwani na Mbunge kwa upande wa jimbo!!..
 
Ndio maana mnadharauliwa.

Uliowataja wanahusika vipi?...kwa nini dongo hilo usielekeze kwa serikali chini ya dubwasha ccm kuua viwanda?

#kipaumbele lazima kiwe
1. Elimy
2. Elimu
3. Elimu

Maendeleo yanahusiana moja kwa moja na "Elimu" maana elimu ndiyo inayokuza michepuo ya akili za binadamu aweze kubuni,kutenda kuvumbua ,kutengeneza vitu mbalimbali na kupata ufumbuzi wa matatizo yanayomkabili.Huwezi kuendelea kama huna elimu.Na elimu ninayoizungumzia hapa sio wingi wav yeti na digrii.Bali ni wingi wa maarifa,ujuzi,utambuzi,weledi, umaizi nautashi wa kujiamini na kujitambua. Maendeleo ni kujikomboa.Na kujikomboa ni kujinasua kwenye makucha ya ujinga,umaskini,dhiki,maradhi,utegemezi na utumwa wa madhila ya ufukara wa akili na mali.Kujikomboa ni kupata mahitaji ya msingi na uhuru wa ukweli.
PIGA KURA YAKO KWA LOWASSA NA WABUNGE NA MADIWANI WA UKAWA!!
 
Victoire naomba kuuliza,hivi Lowassa na Sumaye wamekwisha wahi kuwa Viongozi wakuu (Rais) wa Nchi hii tokea lini?..Hivi unajua ni kwa nini wananchi wote wanamchagua Rais na wala sio Waziri Mkuu?Mkataba wa kura na Maendeleo huwekwa baina ya wananchi na Rais ama Diwani na Mbunge kwa upande wa jimbo!!..
Wamekuwa waziri wakuu,yaani watendaji wakuu lakini kiwanda kimejifia eti na leo wanahutubia hapo,watanzania sijui nani katuroga
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom