Recent content by Kategele

  1. Kategele

    JamiiForums Tanzania Naomba kusikia kutoka kwa watu wengine ambao labda wamepitia maumivu makubwa ya kupoteza wapendwa wao au kuona ndugu zao wakiteseka hospitalini

    Kifo kisikie kwa mwingine nimepoteza wapendwa wangu mke na watoto ndani ya mwezi nilizoea kukaa na familia yangu tunacheka tunapiga story lakini leo sioni simu ya mama yao wala sisikii sauti za wanangu tukitaniana tukiwa tunasubiri chakula cha familia nalala kitanda peke angu. Nashukuru Mungu...
  2. Kategele

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Woman Loses Uterus to Alleged Intern Doctors After Stillbirth at Kawempe

    Bora walifanya maamuzi ya kuondoa kizazi alikuwa anaondoka yeye na mtoto. Nimepoteza mama na mtoto wa kuchelewa Madaktari kufanya maamuzi.
  3. Kategele

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Afariki Dunia baada ya kushambuliwa shambani Masasi - Mtwara kisa mgogoro wa ardhi

    Hata kama hutaki mgomvi atakutafuta tu ukiziachia hizo hatua 2 mwaka kesho anasogeza tena kwako hatua 2 ukikubali tena mwaka unaofuata anaanzisha tena kusogeza hatua 2 mpaka ukasilike tu wanadamu wanapenda ukorofi kutoka damuni kabisa.
  4. Kategele

    JamiiForums Tanzania Hivi ni wimbo gani ukikuta na stress unaweza ukalia mpaka ukalia tena

    Kifo -Remi Ongala
  5. Kategele

    JamiiForums Tanzania Nani yupo macho?

    Niko macho mazingira ya huzuni kwa kuondokewa na Mke wangu kipenzi😭😭😭 RIP mama watoto wangu.
  6. Kategele

    JamiiForums Tanzania Chato wamrudishe Diwani Kapembe awe Mwenyekiti wa Halmshauri ya Chato. Alishinda kihalali apewe kiti chake

    Kapembe hana uwezo kuisimamia halmashauri maana elimu kichwani hana zaidi ya uganga wa kienyeji. Manunga alifanya mpango apate mpinzani dhaifu ili apite kirahisi. Cha kushangaza madiwani wakamkomoa kwa kumpgia kura Kapembe.
  7. Kategele

    JamiiForums Tanzania Wazazi wa kisasa msijisahau kwenye Malezi, hawa kina junior wamekuwa mizigo hawawezi hata kujioshea vyombo ni mizigo, ni kero kubwa wakiwa ugenini

    Kwa kuliona hilo serikali imeanzisha somo la historia ya Tanzania na maadili. Kidogo kina junior wataokota vitu vya maadili. Nimepitia kitabu kina mada za maadili, kazi za nyumbani, Kuheshimu wakubwa na jamii
  8. Kategele

    JamiiForums Tanzania Shoga haliwezi kubadilikaa kamwe

    Kuzaliwa na hulka za kike siyo kosa lakini kuwa shoga ni suala la mtu mwenyewe kuamua awe shoga. Hulka za kike hazimfanyi mtu awe shoga.
  9. Kategele

    JamiiForums Tanzania Wazee anayejua mganga mzuri, nimeibiwa tofali zangu site

    Kiwanja hakitembelewi tafuta hela wape wakandarasi wafanye kazi wewe ukabidhiwe ufunguo wa nyumba ukague na kuanza kuishi. Ona sasa umepeleka matofali kulinda kiwanja na yameibiwaaa. Anyway pole
  10. Kategele

    JamiiForums Tanzania Harakati za Januari: Tofauti kati ya baba mzazi na baba mlezi

    Baba mlezi aka Babalea😄😄
  11. Kategele

    JamiiForums Tanzania COET or DIT

    UDSM
  12. Kategele

    JamiiForums Tanzania Usikurupuke kula ovyo kwenye vi fast food vya sinza utalia kama sio kuacha simu yako

    Fast food nyingi ni zinatapeli huduma haiendani na bei kabisa wadada wadangaji wamehamia kuanzisha vifast food uchwala pumbavu zao kabisa ukilalamika vinakujazia watu unalalamika nn mbona wezanko wanalipa
  13. Kategele

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je hapa Nina mke kweli?atumia laki tatu ndani ya wiki3 akiwa ugenini katika harus

    Maisha yamebadilika siku hizi baba mwenye mji amegeuzwa Msukule wa familia unaofanyishwa kazi huku familia inakula bata hata huruma hawana😁😁😁
  14. Kategele

    JamiiForums Tanzania Urembo wa madirisha kwa nje na kona za nyumba

    Kuremba sana nyumba inakirihisha inagaa sana kama jeneza. Bora kuweka rangi iliyopoa.
Back
Top Bottom