mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 22,269
- 71,920
Haya ni mambo ambayo tunaamini tu mkuu kwasababu hatuuelewi ulimwengu wao.Haujui hata unachoongea😀
Hauwezi kudelegate kazi ambayo hata ww mwenyewe kuifanya ni ngumu kwako.
Na nikuambie tu huwa hawaji kuwa waratibu, na huwa wanakuja kuishi kwa survival na dependence ya hali ya juu kutoka kwa wazazi wao.
Ni watoto ambao hawana self discipline, self reliance.
Ni watoto ambao kuhandle hata ndoa au mahusiano kwao ni ngumu.
Ni watoto ambao hata kupanga life budget yao tu huwa hawawezi.
Ni watoto ambao wako FRAGILE in every aspect of life.
Kwanza ni wachache sana, dollar millionaires ambao wapo 2,000-3,000 tu hapa nchini. Wamejitenga na wanaishi maisha tofauti sana.
Matarajio ya kuajiriwa, kupangisha nyumba kujichanga changa kama sisi hawana mkuu. Na wengi hawaishi Tanzania pekee, wana residencies za nchi nyingi.
Hawa ndo watu ninaozungumzia. Top 0.005% ya nchi.
Wanaoa, wanapata watoto na wanafanya biashara vizuri tu.
Nimeona maisha ya baadhi na wako poa tu.