Recent content by katabaroa

  1. katabaroa

    JamiiForums Tanzania Nimebaini mke wangu amezaa nje ya ndoa na amekiri, naombeni ushauri

    Pole sana mkuu
  2. katabaroa

    JamiiForums Tanzania Nimetafuta kazi mpaka nimechoka najiona sina faida hapa duniani

    Future vyeti kichwani Anza kutafuta maisha utafanikiwa. Usitafute kazi tafuta maisha kwa kufuta vyeti kwanza. Vyeti ndo vinakupa msongo wa mawazo.
  3. katabaroa

    JamiiForums Tanzania Kagera: Ifahamu familia inayoamini kumiliki Simu, TV na kwenda Shule ni dhambi

    Muhaya kaja je hapa. 😂😂 Huyu muha kazamia Bukoba
  4. katabaroa

    JamiiForums Tanzania Kafeini ni nini? Ni nzuri ama ni mbaya kwa afya?

    Athari zake?
  5. katabaroa

    JamiiForums Tanzania Malezi ya watoto ni Taaluma sio kitu cha asili

    Asante. Tupe darasa
  6. katabaroa

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimetuma picha chafu kwa ninaowaheshimu

    Kwa nini utunze kwa simu yako ujinga? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. katabaroa

    JamiiForums Tanzania Imekuwa sawa na Makongoro Nyerere alivyotumwa mzazi shuleni akiwa mtoto wa rais

    Mnanichanganya Sent using Jamii Forums mobile app
  8. katabaroa

    JamiiForums Tanzania Rwanda: Paul Kagame ashinda kwa kishindo kuendelea kuwa Rais

    Ulitaka achaguliwe Nani? Rwanda wanampenda that's all Sent using Jamii Forums mobile app
  9. katabaroa

    JamiiForums Tanzania Rwanda: Paul Kagame ashinda kwa kishindo kuendelea kuwa Rais

    Kwa sababu anapendwa na wanyarwanda wote
  10. katabaroa

    JamiiForums Tanzania Rwanda: Paul Kagame ashinda kwa kishindo kuendelea kuwa Rais

    Mwanaume karudi ikulu. Am proud of you Paul Kagame Sent using Jamii Forums mobile app
  11. katabaroa

    JamiiForums Tanzania Migambo wa vita vya Kagera

    Kumuua Mzee? Hatari kumbe mabinti noma Sent using Jamii Forums mobile app
  12. katabaroa

    JamiiForums Tanzania Tamko la Jumuiya na taasisi za Kiislam Tanzania juu ya Waislam kushambuliwa, kutekwa na kuuawa

    Kulingania? Sijui ni nini niweze changia. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. katabaroa

    JamiiForums Tanzania Baada ya wapangaji hawa kuhamia, maisha yangu yamekuwa ya hovyo, sielewi nini kimenikumba

    Dawa ya mushana au kashwagala inakutisha? Mind set yako ndo mchawi. Bukoba kuna dawa za miti shamba utumiwa sana kipindi cha ujauzito na pia kuzuia magonjwa dawa iitwayo mshana. Acha kuamini vibaya utakufa Sent using Jamii Forums mobile app
  14. katabaroa

    JamiiForums Tanzania Mauaji yanayoendelea Kibiti, Pwani: Maoni, Ushauri na Mapendekezo ya nini kifanyike ili kuyatokomeza

    Nimekaa na kutafakari watanzania wenzetu wanaopoteza maisha kwa kuuawa na watu watu wa wasiojulikana. Mi kama Mtanzania, ninayependa utu na kuthamini wenzangu ninaomba kuwa sehemu ya kusaidia sio kulaumu. Kwanza kabisa ukiibiwa huwa unahisi ni nani mwizi. Na katika research kuna Hypothesis...
Back
Top Bottom