Hapana mkuu inategemea...binafsi majukumu ndiyo yalinitoa,kwanza kabisa Mzee wangu alianza kama kuchanganyikiwa na hakukua na msaada wa mtu wa karibu,naadamu nilishafikisha miaka6 ya mkataba nikaomba kuacha kazi nikalipwa some few cash(3.7m)nikapewa na barua yangu nikarudi home kumuuguza father,I did it for 3yrs na siku pesa ziliponiishia na Mzee akafariki 2010.Wonderful mbona kuna habari nazisikia sana kwamba ukishakula kiapo ni ngumu sana kuvua gwanda.
So sad,pole sana;ukupata msaada wowote wakumhuguza Mzee kutoka kitengoni?Hapana mkuu inategemea...binafsi majukumu ndiyo yalinitoa,kwanza kabisa Mzee wangu alianza kama kuchanganyikiwa na hakukua na msaada wa mtu wa karibu,naadamu nilishafikisha miaka6 ya mkataba nikaomba kuacha kazi nikalipwa some few cash(3.7m)nikapewa na barua yangu nikarudi home kumuuguza father,I did it for 3yrs na siku pesa ziliponiishia na Mzee akafariki 2010.
Mkuu tatizo ni kwamba nilisha 'muua' baba kitambo.....miaka miwili baada ya kuingia jeshi nilitokea kumpenda binti mmoja hivi,kwa bahati mbaya zaidi binti alikua mwanafunzi mwaka wa mwisho f6,so baada ya kumaliza akapata chuo Dar Mlimani...so ikawa ngumu sana kuonana nae,mimi nilikua Tabora na yeye Dar,kuna siku ukame ulinibana na sikua na namna zaidi ya kutengeneza mazingira,nikamuandaa mtu akapiga simu officn ya kuwa nimefiwa na mzee,so nikapewa ruksa ya wiki1 kwenda home Musoma but mie nikaenda kwa mtoto wa Kinyamwezi Tabora,ukame wa mwaka mzima ilibidi nipate utulivu wa moyo kuumaliza kwa toto lile la kinyamwezi..wiki nzima ilikua tamu sana kwangu mkuu mpaka nikatamani ni bora nifanye mishe za kuhama from Tabora to Dar,but kwa bahati mbaya transfer yangu ikaletwa Moro Ngerengere..hakua tabu bcoz kila ijumaa jioni nilikua natoka to Dar narudi sun.So sad,pole sana;ukupata msaada wowote wakumhuguza Mzee kutoka kitengoni?
Sasa mkuu katika maisha yako hujawai kufikiria kua ni laana kumuua Mzee kwa ajili ya demu,by the way nipe update ndio shemela wetu mpaka Leo au baada ya mauaji mliachana.Mkuu tatizo ni kwamba nilisha 'muua' baba kitambo.....miaka miwili baada ya kuingia jeshi nilitokea kumpenda binti mmoja hivi,kwa bahati mbaya zaidi binti alikua mwanafunzi mwaka wa mwisho f6,so baada ya kumaliza akapata chuo Dar Mlimani...so ikawa ngumu sana kuonana nae,mimi nilikua Tabora na yeye Dar,kuna siku ukame ulinibana na sikua na namna zaidi ya kutengeneza mazingira,nikamuandaa mtu akapiga simu officn ya kuwa nimefiwa na mzee,so nikapewa ruksa ya wiki1 kwenda home Musoma but mie nikaenda kwa mtoto wa Kinyamwezi Tabora,ukame wa mwaka mzima ilibidi nipate utulivu wa moyo kuumaliza kwa toto lile la kinyamwezi..wiki nzima ilikua tamu sana kwangu mkuu mpaka nikatamani ni bora nifanye mishe za kuhama from Tabora to Dar,but kwa bahati mbaya transfer yangu ikaletwa Moro Ngerengere..hakua tabu bcoz kila ijumaa jioni nilikua natoka to Dar narudi sun.
Back to topic:
Baada ya mzee kuanza kuugua sikua na namna ya kudanganya zaidi ya kuomba kuacha kazi ili nikae karibu na mshua.
Kumuua Mzee? Hatari kumbe mabinti nomaMkuu tatizo ni kwamba nilisha 'muua' baba kitambo.....miaka miwili baada ya kuingia jeshi nilitokea kumpenda binti mmoja hivi,kwa bahati mbaya zaidi binti alikua mwanafunzi mwaka wa mwisho f6,so baada ya kumaliza akapata chuo Dar Mlimani...so ikawa ngumu sana kuonana nae,mimi nilikua Tabora na yeye Dar,kuna siku ukame ulinibana na sikua na namna zaidi ya kutengeneza mazingira,nikamuandaa mtu akapiga simu officn ya kuwa nimefiwa na mzee,so nikapewa ruksa ya wiki1 kwenda home Musoma but mie nikaenda kwa mtoto wa Kinyamwezi Tabora,ukame wa mwaka mzima ilibidi nipate utulivu wa moyo kuumaliza kwa toto lile la kinyamwezi..wiki nzima ilikua tamu sana kwangu mkuu mpaka nikatamani ni bora nifanye mishe za kuhama from Tabora to Dar,but kwa bahati mbaya transfer yangu ikaletwa Moro Ngerengere..hakua tabu bcoz kila ijumaa jioni nilikua natoka to Dar narudi sun.
Back to topic:
Baada ya mzee kuanza kuugua sikua na namna ya kudanganya zaidi ya kuomba kuacha kazi ili nikae karibu na mshua.
Ahahaaaaa.mkuu ilikua utoto Tu bana.i was 20only bro so nadhani nilikua sijakomaa kiakili.But huko majeshini mkuu Kuna watu washaua mpaka watoto wao so hawana kitu.Aliua Baba,mama,mke,na watoto believe me.Sasa mkuu katika maisha yako hujawai kufikiria kua ni laana kumuua Mzee kwa ajili ya demu,by the way nipe update ndio shemela wetu mpaka Leo au baada ya mauaji mliachana.
Dah...acha Tu mkuu!
Aisee pole sana bro!! Nadhani ile siku tuliyopanga kukutana, utanisimulia vizuri. Hope unaendelea vizuri na familiaNiliwahi kwenda pale Hazina Dar mwaka 2001,nilimpeleka marehemu mzee wengu kufatilia mafao yake,wakati tukiwa kwenye foleni kuna mzee mmoja akawa anamuangalia sana mzee wangu,kwa bahati mbaya mzee wangu alikua ameharibika masikio so akawa hasikii vzr,ikabidi nimuulize kulikoni?akasema anamfananisha kama walikua kwenye kambi moja ya jeshi(Buhemba).nikamwambie sijui,nikamuuliza kama anamkumbuka jina akalitaja jina moja ambalo mzee alikua akilitumia kabla hajabadirisha dini,nikamshitua mzee kwamba huyu mzee anakufananisha,kweli na mzee wangu akamkumbuka bwana,wakacheka sana mpaka mle ndani hazina kwenye babenchi ikawa kama ukumbi wa burudani..ikabidi nimpeleke nje ili wakapige story zaidi,dahhhh..yani nilishangaa wakakumbushana hiyo vita..wakawa wanauliza wenzao waliokua nao kwenye uwanja wa mapambano..ilikua burudani sana maana nilikua naona kama imetokea juzi tu.But wengi wao wamechoka sana kimaisha na wana hali mbaya si mchezo.Babangu kafariki 2010 akiacha kibanda tu cha vyumba viwili ingawa alikua mzalendo sana na jeshi.Nikiwa darasa la 4 aliwahi kuniuliza ningependa kufanya kazi gani nikiwa mkubwa?nikamwambia nataka kuwa mwl,dah,nilichezea vitasa vya haja na akasema siku nikiwa mwl nisikanyaje kwake maana hizo ni kazi za kike.Alipenda wototo wake wote tuingie jeshini,but bi mkubwa hakua hakitaka habari za jeshi maana zilimfanya kuishi peke yake kwa miaka miwili wakati mzee akiwa Uganda na pia hakuna faida kwenye familia kutokana na mzee kufanya kazi hiyo.
But now naona mambo yamebadirika sana jeshini maisha poa tu.
Binafsi nimewaona wapiganaji wa vita hii kama 11 akiwemo mzee wangu but ni wawili pekee walio hai na mmoja wapo ni mlemavu wa macho..yani wengi waliathirika sana kiafya.Marehemu mzee wangu alikua akitoka usaha masikioni.
Ahahaaaaa.usikonde mkuuAisee pole sana bro!! Nadhani ile siku tuliyopanga kukutana, utanisimulia vizuri. Hope unaendelea vizuri na familia
Sent using Jamii Forums mobile app
Darasa la tano bado mtoto huna jipya.Mimi nilikuwa darasa la tano wakati huo,habari za kutangulizwa migambo ni fake news,hakuna jeshi linalotumia mbinu hiyo,wanaotangulia ni vikosi vya suvilliance wakirudisha taarifa jeshi linasonga mbele kwani hamuangaliagi movie za vita? msidhalilishe jeshi letu jamani.
Basi mkuu unajua kupenda sana.Ahahaaaaa.mkuu ilikua utoto Tu bana.i was 20only bro so nadhani nilikua sijakomaa kiakili.But huko majeshini mkuu Kuna watu washaua mpaka watoto wao so hawana kitu.Aliua Baba,mama,mke,na watoto believe me.
Well,a girl tuliachana ingawa tulipata mtoto mmoja and a kid nilimchukua mwenyewe nikampeleka to my sister anaishi Finland,a girl yupo kwenye makinikia ni engineer migodini huko kusini mwa Africa.

. Unanikumbusha story moja inaitwa zawadi ya ushindi. Inahusu vita vya KageraMimi nilikuwa mstari wa mbele.
BTW, nina uncle ana fix balaa alishiriki vita ya kagera. Sasa jicho lake ni bovu kidogo.
Anakuambia alikuwa mstari wa mbele, sasa siku moja yeye na platoon yake walivamiwa wakauliwa akabaki yeye. Wanajeshi wa nduli wakamchukua kama mateka na walipofika kambini mwao wakamtaka awafundishe tactics za Tz.
Kama bahati akawaambia pangeni foleni ile wamepanga akamyan'ganya mmoja silaha akawatungua wote walikuwa kama 6 wa mwisho hakufariki ndiye akampiga bullet ya jicho. Akafanikiwa kutoroka na mpaka leo anadunda.
Niliisoma pia sema nimeisahau... moja ya riwaya za ujasusi kwa kipindi hicho pamoja na ile ya Harakati za Joram Kiango.Unanikumbusha story moja inaitwa zawadi ya ushindi. Inahusu vita vya Kagera
Sent using Jamii Forums mobile app