Recent content by kasuluT

  1. K

    Chiku Abwao ajiunga rasmi na ACT - Wazalendo

    Chiku Abwao,wewe nenda salama,lakini kilichosababisha ni mkubwa wa wangombe wapya,umeona huwezi kupita kwenye kura za maoni,
  2. K

    CHADEMA waita Wahariri - Jumanne, 28 Julai 2015

    Lowasa sawa,kura lazima apewe,hata mtume paulo alikuwa anampinga yesu.
  3. K

    Mgogoro ACT-Wazalendo: Mwenyekiti Taifa atishia kuachia ngazi

    Hicho ndiyo zito alichokuwa anakita. Hii ndiyo tabia ya ayatolah zito zuberi kabwe. Kwa tabia yake, hii act haitokuwa na muda mrefu kwenye medani za kisiasi.
  4. K

    BAVICHA wafanya kituko Butiama, Lissu afukuzwa

    Acha uongo wewe mwanamke, wongo hakusaidii ikitu, uongo utakuponza.soma alama za nyakati.
  5. K

    Nape amtaka Zitto kujenga upinzani wa kweli

    Zito ni mwanaccm lazima nape amkumbushe kazi waliyotuma zito kuubomoa upinzani haijaisha.
  6. K

    Tume ya taifa ya uchaguzi (NEC) yaahirisha kura ya maoni

    Serikali ya ccm ilikuwa inang'ang'ania nini? Waliambiwa kura ya maoni haiwezi kufanikiwa, ccm walibisha,leo wajionaje?
  7. K

    Kazi za Kiongozi Mkuu wa ACT-Tanzania

    Watu walilukuwa wanamuona mungu mtu. Walichokuwa wanakitaka ndiyo hicho,na yeye zzk alichokuwa anataka ndiyo hicho,kwa yale maneno maneno ya kusema chadema ni chama mtei nafikiri yamekwisha.kwa watanzania mmekiona chama cha mtu binafsi aliyeshika madaraka yote ya act ni zito zuberi kabwe.act...
  8. K

    Kazi za Kiongozi Mkuu wa ACT-Tanzania

    Watu waliluwa wanamuomuona mungu mtu. Walichokuwa wanakitaka ndiyo hicho,na yeye zzk alichokuwa anataka ndiyo hicho,kwa yale maneno maneno ya kusema chadema ni chama mtei nafikiri yamekwisha.kwa watanzania mmekiona chama cha mtu binafsi aliyeshika madaraka yote ya act ni zito zuberi kabwe.act...
  9. K

    Sheria ya Makosa ya Mtandao 2015: Kwa mkakati huu wa Serikali, Watumiaji wa Mitandao tutapona?

    Mnakipenda sana chama cha mapinduzi,mnalalamika nini? Na bado-mkiambiwa chama hiki hakifai hamuelewi.2015 tubadilishe chama kingine,ccm imezeeka.wakati wake umekwisha.
  10. K

    ACT Wazalendo yapata viongozi Kitaifa, Anastazia Mghwira awa Mwenyekiti wa kwanza Kitaifa

    Alichokuwa anataka amekipata,hapo hakuna chama,na shabani mambo ndani ya chama ,huyo mtu nitatizo,act bye bye.
  11. K

    Mbarali: Mkutano Mkuu wa CHADEMA wamvua Gamba Katibu wa UWT CCM Wilaya

    Hongera sana mama kwa kuliona hilo, karibu sana chadema.
  12. K

    Maoni ya wananchi kuhusu taasisi za usimamizi kama PAC, LAAC & CAG

    Labda achaguliwe mwenyikiti ambaye anaweza kufanya kazi kwj uadilifu,hao wote waliongoza pac walikuwa wabadhirifu,na ni bora wengine wameamu kujitoa wenyewe.wameamua kujitoa wakati pac imemaliza muda wake, na hao waliobaki wote wajijue kuwa wachafu.hawawe kutupeleka tunakotaka.
  13. K

    Dr. Slaa amtembelea Gwajima TMJ hospital

    Unamsumbua askofu mwenza kwa jambo ambalo mlikuwa mmekubaliana tena kwa maandishi,hii ni aibu kwa kanisa. Waamini tunakushangaa.
  14. K

    Dr. Slaa amtembelea Gwajima TMJ hospital

    Askofu pengo ameamua kuwa askofu wa chama cha mapinduzi.kama ameaua hivyo basi avue joho avae gamba ili watanzania tujue kuliko kujificha.asofu pengo hukuwa hivyo nakushangaa.
  15. K

    Kikwete: Sina tatizo na uwepo wa Serikali tatu Tanzania!

    Wewe akili yako bado kabisa,hat mtoto au mwendawazim angesikiliza hotuba ya kikwete angegundua kama huyu anayeongea mbele yake m dumilakuwili.
Back
Top Bottom