Sunshow
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 1,140
- 391
Uwajibikaji wa viongozi ni jambo la kimfumo. Serikali yetu imejengwa katika mfumo wa kimasilahi binafsi, chama fulani na kulindana zaidi. Inaweza kutolewa hoja ya msingi na yenye masilahi kitaifa lakini hoja ikageuzwa ya kisiasa kwa lengo la kuwalinda mafisadi.