Wanachosema hawa jamaa ni kuwa katika kila abiria 200 wanaosafiri kwa mara moja, kunakuwa na tiketi 50 za nauli ya 43,000 (32,000 bila kodi), na mafungu mengine ya sh. 59,000/, 75,000/, 96,000/ hadi 291,000/. So price inategemea availability ya hizo chances. Mie nimepata ya 59,000/ kwa tarehe15...