Wana JF,
Nimekuwa na shauku ya kufahamu mipango iliyopo ya matumizi ya ardhi hususan kwa jiji la Dar es Salaam. Hii ni hasa kwa maeneo ambayo hayajapimwa bado (unsurveyed) kama vile baadhi ya maeneo ya Mbezi Msakuzi, Mbezi Makabe, Goba, Madale, Mbagala Kuu, Msongola, Kivule, Kibamba - Kwembe...