habari zenu wana JF kuna nafasi za kazi zimetangazwa Opportunity Tanzania Limited(OTL), arusha wemetangaza nafasi za afisa mikopo, sifa )
1Accauntacy nafasi 3
diploma ya accauntacy
2)Afisa mikopo nafasi 14,
sifa za amwombaji
- awe na elimu ya form four na kuendelea
- awe na lugha nzuri kwa watu
mwenye ujuzi na computer atapewa kipaumbele
maombi yote yatumwe kwa email.
ofisi zipo jengi la summit center mkabala na shoprite.
maombi yatumwe kwa vailymo@yahoo.com meneja. mwisho wa kutuma maombi ni 15/3
jaman mimi sio mhusika nimekopy na kupest