Recent content by Kasomi

  1. Kasomi

    Twitter yafikiria kuweka kitufe cha kuhariri(editing)

    Anha Mada katika uzi member yeyote anaandika ila nilikuwa naongelea Tittle hiyo ndio huwezi edit. Hivyo tupo pamoja sema hatukuelewana Awali.
  2. Kasomi

    Twitter yafikiria kuweka kitufe cha kuhariri(editing)

    Kuedit thread kwa member wengine hawana permission hiyo labda kwa premium Member (platinum member). Labda unacho zungumzia ni kuwa umeandika thread kwa namna yako kisha Mods wanaedit ila Baada ya wewe kuandika thread na kupost huwezi edit. Kama ilitokea hiyo kwako itakuwa kwenye settings zao...
  3. Kasomi

    Wakuu msaada wenu, Facebook wamelock account yangu

    Ingia kwenye App ya Facebook kupitia settings za simu yako kisha futa akiba zote na uilazimishe app ikome. Baada ya hapo ifute kabisa app yako kisha install mpya na kisha register account mpya au jaribu kulogin kwa account yako ya zamani.
  4. Kasomi

    Twitter yafikiria kuweka kitufe cha kuhariri(editing)

    JF wapo sahihi kwa upande mwingine kutoweka uwezo wa member kuedit thread na hata kufuta kabisa. Hii ni sababu leo unaweza andika uzi wenye maana fulani ila kwa sababu ya baadhi ya Members kutoa negative review unaweza chukua maamuzi ya kuedit thread kisha kuedit Mada husika na uzi kutokuwa na...
  5. Kasomi

    Wazee nipeni mbinu za kuongeza YouTube subscribers

    Singizia kua PM kadakwa na Kidosho kama wale jamaa lazima ukimbize sana. Karibu katika ulimwengu wa YouTubers
  6. Kasomi

    Bei ya mafuta yapanda maradufu. Petroli bei yaongezeka kwa kati ya Tsh. 100 - 321

    Wakati Serikali ikitangaza kurejesha Sh100 katika mafuta, watumiaji wa nishati hiyo watalazimika kufunga mkanda kutokana na bei kuendelea kupaa. Bei ya nishati hiyo inapanda wakati wananchi wakilalamika kupaa kwa bei za bidhaa mbalimbali za vyakula hasa wakati huu wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani...
  7. Kasomi

    Special thread: Missing someone with special memories in your life

    🙏🙏🙏 Nashukuru Mkuu kwa kunikumbuka hakika hapa ni Jamii tunayo furahi licha ya kutofahamiana Zaidi machoni mwetu.
  8. Kasomi

    Nusu fainali na fainali ya draft

    Na hizi zipo chini ya TFF
  9. Kasomi

    Tunaanza na Tume Huru Kwanza

    Ngoja Msiba upite tunarudi
  10. Kasomi

    TANZIA Profesa Honest Ngowi afariki dunia kwenye ajali Mlandizi Pwani. Alikuwa mhadhiri Chuo Kikuu Mzumbe

    https://jamiitalk.com/threads/prof-honest-ngowi-afariki-dunia.25/
  11. Kasomi

    Freestyle session 4 vs sinaga swagga 5

    Ila msodoki anajua harafu hua ana switch
  12. Kasomi

    GWAJIMA: Mungu huinua Watu kupitia Watu

    Hongera kwakuonyesha hisia za kukubali uwepo wa huyu.
  13. Kasomi

    Nataka kuanzisha website au App ya Elimu, iguse wanafunzi shule ya msingi mpaka university

    Anzisha Platform ya kuuliza na kujibu maswala. Yaani hapo wanafunzi wanauliza walimu wanajibu, pia inakuwa automatically ina leta majibu kwa maswali yaliyo wahi kuulizwa au kujibiwa hapo inaweza kuwa kimbilio kwa Wanafunzi hasa wanachuo.
Back
Top Bottom