Recent content by Kasililwa

  1. K

    JamiiForums Tanzania Disemba ndo hiyo inakwisha, sioni dalili ya Bombardier kutua nchini kama alivyoahidi Magufuli

    Wewe jamaa naona una hamu ya kumalizia mwaka vibaya,aidha Segerea au kamuulize Roma katolikl
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wa kweli waliokosoa kwa ukweli wanarudi CCM, wapinzani wa uongo wanaendeleza uongo wao

    Bwana Mkubwa hapangiwi watu wa kuteua. Umejitahidi kumshawishi ukuteue
  3. K

    JamiiForums Tanzania Pesa hainunui haramu!.

    Kwani Mkombe huyo Mwenyekiti wenu alijazia fomu gizani hamkumuona? Rainer kakulia Chala kasoma Kaengesa seminary kafanya kazi Benki kaoa Mazwi mlikuwa wapi?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa umma: Ufafanuzi wa Bunge kuhusu kauli ya Spika

    Kuumizwa Mhe. Lissu imekuwa mtaji wa kisiasa kweli jamani? Hebu tuache upumbavu huu. Mwenzetu anaumwa anahitaji msaada wa sala na maombi na siyo mbwembwe za kutafuta umaarufu kisiasa.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mlipuko ofisi ya Mawakili, CCM yakaa kimya

    Kwahiyo unataka kusema kwamba CCM wanajua aliyelipua ofisi hizo ? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nioneshe marafiki wa Tundu Lissu nami nitakuonesha Oligaki, Aristrokasi na Timokrasi

    Mpendazoe kacheze na wajukuu zako tu. Hivi umeota mkia lini? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume akili zetu tunazijua wenyewe

    Kila mtu ni kichaa tunatofautiana kiwango cha ukichaa Sent using Jamii Forums mobile app
  8. K

    JamiiForums Tanzania Shida yao CCM Lissu siyo Mla Rushwa!!

    Ujinga ni mzigo. Hoja hujibiwa kwa hoja. Naomba kusaidiwa aliyosema Lissu yana ukweli kiasi kipi na yana uongo upi? Zaidi ya hapo mnatuchanganya ukweli usemwe hii kitu iishe. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. K

    JamiiForums Tanzania James Mbatia: Rais Magufuli ndiye alipitisha mikataba Bungeni kwa "Ndio" za "Mia kwa Mia"

    Hivi kioo kikikuonesha kuwa kuna kamasi puani unakivunja au unatoa kamasi?. Wabunge waliopitisha sheria hizi za kinyonyaji pamoja na Chama chao/chenu zitokezeni hadharani na kuwaomba msamaha Watanzania.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kumuelimisha mtu aliyebahatika kufika elimu ya juu (kwa kukariri) ni ngumu sana

    Mikataba ya madini ambayo ni mali ya wote inalinganishwa na hati ya mauziano ya nyumba ya Chama kweli? Kweli Mleta mada unafaa kuwa mtabiri. Wajinga wamejionesha tayari. Mtu mwenye akili timamu huwezi kushabikia kinachofanywa na wawekezaji wa madini kwani walipewa baraka hizo kufanya wayafanyayo...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Fred Mpendazoe: Siwaelewi Tundu Lissu na CHADEMA

    Mpendazoe wewe huna Jimbo hivyo Ambulance hupewi!!!. Tafuta kazi ufanye hili linaendelea kukuvua nguo hadharani chutama
  12. K

    JamiiForums Tanzania Fred Mpendazoe: Siwaelewi Tundu Lissu na CHADEMA

    Hivi Mpendazoe si tuliambiwa mmekatika mikia wewe na wenzio? Vipi mikia imeota? Linda heshima yako kidogo iliyobaki. Kukaa kimya nayo ni busara
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kwako Yeriko Nyerere

    Kushabikia haya yanayoendelea leo hii nchini inabidi kujitoa ufahamu. Ni vizuri tukawajua waliosababisha uhuni huu, wawajibishwe. Mbona wapo wanatanua tu huku mtaani. Mleta uzi Chikawe JR usijifanye chizi wataje wahuni waliosababisha upuuzi huu. Lowasa na Sumaye walikuwa sehemu ndogo ya waharifu...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Poll: Mikataba ya hovyo ya madini na hasara taifa limepata, je nani alaumiwe?

    Leo Wabunge waliopitisha sheria hizi za kinyonyaji waliambia nini Taifa. Ndiyoooooo imeliponza Taifa. Hukumu ni haki yenu Wabunge wa CCM
  15. K

    JamiiForums Tanzania NCHI VS SERIKALI

    Kupenda nchi si kuipeleka nchi matatizoni bali ni kuilinda na kutoshabikia na kuendekeza chuki ,kejeli na Kiburi chako,majivuno,visasi na itikadi. Kupenda nchi ni kuruhusu mawazo ya watu wengine kuwa sehemu ya maamuzi yako hata kama huyapendi. Siyo kila kitu kizuri unacho wewe. Ndio maana hata...
Back
Top Bottom