Kuna utofauti mkubwa kati ya kuipenda nchi yako na kuipenda serikali iliyopo madaraka.
Kuipenda nchi yako ni uzalendo, lakini kuipenda serikali ni itikadi iliyosambamba na siasa za mlengo fulani.
Mtu anae ipenda nchi yake huyu moja kwa moja ni mzalendo, yeye yupo tayari kuipigania nchi yake kutokana na unyonyaji pamoja na aina zote za uovu aidha uaoletwa na wanyonyaji au utawala mbovu uliopo madarakani (SERIKALI )
Kwa upande mwingine, Mtu anae ipenda serikali huyu moja kwa moja yeye huwa ni shabaki kama mashabiki wengine, hayupo tayari kukemea unyonyaji wala kukemea serikali pale inapokosea.
Tafari ya Leo.