Shida yao CCM Lissu siyo Mla Rushwa!!

Lisu ni mnafiki wa taifa. Ngoja aishi jela kwanza, akitoka huko akute na mke wamelamba na hapo ndipo atajua maana ya uhuru huyu mnafiki
Great thinker, mke wa Lisu anahusikaje hapa?
Kuweni na heshima nyinyi watoto, jukwaa hili si la dhihaka na upumbavu ni mahali pa kudadavua hoja ili taifa hili lisonge mbele. Tunatakiwa kujadili hoja na si personalities ili vijana wa nchi hii wapate mikopo ya elimu, wapate ajira, tujikomboe na utegemezi wa fikra na kiuchumi. Tukiwaza ngono na upumbavu tu hatutafika mahali popote, kwanini wewe umeliona la mke wa Lisu wakati tunajadili hoja ya uhalali wa Lisu kukamatwa bila kufikishwa mahakamani na uhalali ya hoja alizoziweka wazi kwenye ule mkutano na waandishi wa habari kama zina mashiko na kuwa na mchango wo wote wa kututoa hapa tulipo ili kusonga mbele. Mkumbuke hili jukwaa linafuatiliwa na watu wengi makini duniani kote, ingawa kwa bahati mbaya kuna watu kama wewe na wengine wanaodhani jukwaa hili ni la mtaani kwenu na la rika lako tu.
 
Lissu ni mropokaji tu.

Rejeeni maneno ya kashfa aloyasema kuhusu baba wa taifa.

The guy is unhinged!!!
Yeah, hilo nalo lakini si rushwa! Walitaka wambambikie kesi ya madawa ya kulevya hapo napo wameshindwa; eti wacheki inawezekana mkojo wake una 'uchochezi' au madawa ya kulevya.

Ila kwa uropokaji TAL anaropoka ingawaje akishindanishwa na sizo kwa uropokaji hatamzidi ngosha yohana, babaye bashite!
 
Nyamaza kama hujui. Lisu ana upungufu wa akili na pia ni mla rushwa, hapo anatembea na fuko la wazungu. Natamani ningekuwa polisi ningemchapa virungu mpaka alie kithungu.
Lakini si unajua kuwa hatuhumiwi kwa rushwa na sasa hivi yuko mahabusu sababu 'mkojo' wake una chembe chembe za uchochezi.

Kweki hii ni nchi ya vi-Wonder!
 
Ujinga ni mzigo. Hoja hujibiwa kwa hoja. Naomba kusaidiwa aliyosema Lissu yana ukweli kiasi kipi na yana uongo upi? Zaidi ya hapo mnatuchanganya ukweli usemwe hii kitu iishe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni makelele kama mna ushahidi kwamba Lissu ni mla rushwa semeni. Maana naona mmepekuaa weee hakuna hata ushahidi mmoja kwamba Lissu ni mla rushwa. Kweli debe tupu haliishi kutika!
 
Lissu ni mropokaji tu.

Rejeeni maneno ya kashfa aloyasema kuhusu baba wa taifa.

The guy is unhinged!!!

Baba wa taifa alikuwa malaika kiasi asisemwe? Pale alipofanya vizuri amepata sifa nyingi tu, ila pale alipochemsha ukweli unasemwa pia.
 
Baba wa taifa alikuwa malaika kiasi asisemwe? Pale alipofanya vizuri amepata sifa nyingi tu, ila pale alipochemsha ukweli unasemwa pia.
wanapenda sana kugeuza ukweli kuwa uongo. Hata wao ukiwauliza hiyo mikataba ya Muungano kama ilifuata kanuni hawana cha kujibu! Lissu alitumia tu msemo wa Kiswahili ambao unatumika kwenye maisha ya kila siku ya watanzania.
 
Back
Top Bottom