Pesa hainunui haramu!.

MLA PANYA SWANGA

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
4,742
2,000
Nasema pesa hainunui haramu huu ni msemo ambao nimeutoa katika lugha yangu ambapo sisi husema (impiya zisyakala nkantu, au indalama zisyakala nkantu).

Nasema haya kwa kuwa mwenye pesa aweza kununua chochote kizuri anachotamani kuwa nacho haijalishi kiko wapi. Aweza kununua wanawake wazuri, viongozi wazuri, ardhi nzuri na mengineyo.

Mwenye hela (ndalama) aweza kuwa raia wa mataifa yote duniani kwa njia na mbinu mbalimbali.

Leo usalama wa taifa wanaelewa ni namna gani nchi yetu inawindwa kuwa dominated kisiasa, kiuchumi ili baadaye wawindaji waje kuwa na nyazifa kubwa za kutawala nchi hii.

Tunaoishi pembezoni tunajua hili. Leo jeshi letu limebeba watu wasio waaminifu wa mataifa ya nje sababu ya pesa tu.

Mataifa hatari kwa taifa letu ni wahutu, watusi, wasomali na waarabu hasa watusi.

Ndugu zetu Bukoba wamenyanyaswa mno na hawa watu walionunua vyeo na kuwa viongozi ndani ya serikali yetu na kuvitumia kuwanyanyasa wananchi.

Tangu lini huko Bukoba, Rukwa, Katavi, Morogoro mkulima aliwahi shinda kesi dhidi ya mfugaji.

Ninayasema kwa uchungu, ni wazi kuwa Mwenyekiti mpya wa CCM mkoa wa Rukwa ni mtu wa nchi jirani huko kwa akina Nkuruzinza na Kagame.

Ni kweli mmempa uraia ili awe mtanzania lakini mmesahau kuwa hata kule anaingia kama mwenyeji na makazi anayo na intelijensia yenu sijui iko wapi bali mmelewa na misaada mnayoipata kutoka kwake kwenye chama.

Roho yake ni ya kule alikotoka japo mwili wake kawakabidhi ninyi nanyi mmemkabidhi siri za nchi. Jamani amkeni.

Kiburi cha kagame kwa Tanzania hadi alipoamua kumtusi JK kinaanzia hapa. Kumbukeni miaka si mingi kiongozi mkubwa jeshini aliondoka na kurudi ktk nchi hizo.

Yanayowapata wakongo man ipo siku yatatukuta na sisi maana wote tunajua kabila Joseph jina ambalo si lake lote jinsi anavyochuma kupitia Kongo.

Angalia jinsi raslimali za Kongo zinavyonufaisha Burundi, Rwanda na Uganda. Kuna uchumi gani kwa kagame au kwa nkurunzinza.

Watanzania tuwe makini umasikini wa fikra ni hatari kuliko kansa ya damu au moyo maana ccm imewainamisha watanzania hadi wanaogopa kuhoji lolote.

Aliyeinamishwa ni muoga hawezi kusema lolote daima. Hivi Rukwa hakukuwa na wanaccm wengine wenye sifa hadi mnaamua kumpa mgeni cheo kikubwa kama hicho usalama mko wapi?

Watoto waliozaliwa na baba mmoja wana haki sawa ila hawana haki sawa na watoto wa binamu au jirani.

Sitangazi ubaguzi ila hakuna ubaguzi mbaya kama kunyanyasa watoto wako kisa litoto ulilookota jalalani lililotupwa na wazazi wake baada ya njaa kali nyumbani au Vita.

Haya yanatokea nchi nzima yanapishana ukubwa tu ila Bukoba, Kigoma, Katavi na Rukwa ni waathirika wakubwa.

Narudia yule Mwenyekiti mpya aliyechaguliwa mkoani Rukwa kwenye chama chetu tumemchagua kwa sababu ya hela zake au kwa kuwa ni mrefu sana au ikoje? Kuishi kwake Tanzania kunatosha na unufaikaji wake na Tanzania unatosha lakini kitendo cha kumpa mgeni ikulu ni kujitafuna wenyewe.

Jioni njema.
 
senzighe

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
1,740
2,000
Nasema pesa hainunui haramu huu ni msemo ambao nimeutoa ktk lugha yangu ambapo sisi husema (impiya zisyakala nkantu, au indalama zisyakala nkantu).
Nasema haya kwa kuwa mwenye pesa aweza kununua chochote kizuri anachotamani kuwa nacho haijalishi kiko wapi. Aweza kununua wanawake wazuri, viongozi wazuri ,ardhi nzuri na mengineyo.
Mwenye hela (ndalama) aweza kuwa raia wa mataifa yote duniani kwa njia na mbinu mbalimbali.
Leo usalama wa taifa wanaelewa ni namna gani nchi yetu inawindwa kuwa dominated kisiasa, kiuchumi ili baadaye wawindaji waje kuwa na nyazifa kubwa za kutawala nchi hii.
Tunaoishi pembezoni tunajua hili. Leo jeshi letu limebeba watu wasio waaminifu wa mataifa ya nje sababu ya pesa tu.
Mataifa hatari kwa taifa letu ni wahutu, watusi, wasomali na waarabu hasa watusi.
Ndugu zetu bukoba wamenyanyaswa mno na hawa watu walionunua vyeo na kuwa viongozi ndani ya serikali yetu na kuvitumia kuwanyanyasa wananchi.
Tangu lini huko bukoba, rukwa, katavi,morogoro mkulima aliwahi shinda kesi dhidi ya mfugaji.
Ninayasema kwa uchungu najua uzi huu mtaufuta lakini ni wazi kuwa Mwenyekiti mpya wa ccm mkoa wa rukwa ni mtu wa nchi jirani huko kwa akina nkuruzinza na kagame.
Ni kweli mmempa uraia ili awe mtanzania lakini mmesahau kuwa hata kule anaingia kama mwenyeji na makazi anayo na intelijensia yenu sijui iko wapi bali mmelewa na misaada mnayoipata kutoka kwake kwenye chama.
Roho yake ni ya kule alikotoka japo mwili wake kawakabidhi ninyi nanyi mmemkabidhi siri za nchi. Jamani amkeni.
Kiburi cha kagame kwa Tanzania hadi alipoamua kumtusi Jk kinaanzia hapa. Kumbukeni miaka si mingi kiongozi mkubwa jeshini aliondoka na kurudi ktk nchi hizo.
Yanayowapata wakongo man ipo siku yatatukuta na sisi maana wote tunajua kabila Joseph jina ambalo si lake lote jinsi anavyochuma kupitia Kongo.
Angalia jinsi raslimali za Kongo zinavyonufaisha Burundi, Rwanda na Uganda. Kuna uchumi gani kwa kagame au kwa nkurunzinza.
Watanzania tuwe makini umasikini wa fikra ni hatari kuliko kansa ya damu au moyo maana ccm imewainamisha watanzania hadi wanaogopa kuhoji lolote.
Aliyeinamishwa ni muoga hawezi kusema lolote daima. Hivi rukwa hakukuwa na wanaccm wengine wenye sifa hadi mnaamua kumpa mgeni cheo kikubwa kama hicho usalama mko wapi?.
Watoto waliozaliwa na baba mmoja wana haki sawa ila hawana haki sawa na watoto wa binamu au jirani.
Jirani ubaguzi ila hakuna ubaguzi mbaya kama kunyanyasa watoto wako kisa litoto ulilookota jalalani lililotupwa na wazazi wake baada ya njaa kali nyumbani au Vita.
Haya yanatokea nchi nzima yanapishana ukubwa tu ila Bukoba, Kigoma,katavi na rukwa ni waathirika wakubwa.
Narudia yule Mwenyekiti mpya aliyechaguliwa mkoani rukwa kwenye chama chetu tumemchagua kwa sababu ya hela zake au kwa kuwa ni mrefu sana au ikoje?. Kuishi kwake tz kunatosha na unufaikaji wake na tz unatosha lakini kitendo cha lump Elenahhhhhhghh)yet ikulu ni kujitafuna wenyewe.
Jioni njema.
Mods tunasema ukweli sio uchochezi. Mnapoufuta uzi angalieni na maslahi ya taifa kuujua ukweli huu.

Paragraph last but one haileweki.Imeharibu habari nzima.
 
MLA PANYA SWANGA

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
4,742
2,000
Una point ila kwa vile ni wa chama kile watakuja kumtetea hadi mapovu yawatoke, ila binafsi ngoja niingie chimbo nitafute CV ya hiyo Mkiti wa CCM Rukwa.
Sijui walidanganywa wapi kuwa kiongozi akiwa Wa nchi Jirani basi maendeleo yanakuja chapu chapu.
 
Kadhi Mkuu 1

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
10,024
2,000
Una point ila kwa vile ni wa chama kile watakuja kumtetea hadi mapovu yawatoke, ila binafsi ngoja niingie chimbo nitafute CV ya hiyo Mkiti wa CCM Rukwa.
Hahahahaaaa mkuu pale nyinyiem wameingia chaka. Au labda kama ni mpango mahsusi wa kutafuta ujuzi wa kutawala milele kama Rwanda.
 
MLA PANYA SWANGA

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
4,742
2,000
Hahahahaaaa mkuu pale nyinyiem wameingia chaka. Au labda kama ni mpango mahsusi wa kutafuta ujuzi wa kutawala milele kama Rwanda.
Mkuu adui hatoki mbali. Toka enzi wahutu na watusi si watu wema kwetu mimi naamini hilo. Mtusi anamthamini mtusi mwenzake kuliko kitu chochote.
Ndiyo maana leo hata ukimuoa mwanamke wa kitusi mtazaa watoto lakini lazima ktk watoto anaozaa nawe lazima azae mmoja na mtusi mwenzake ili asiue kizazi cha watusi.
Mbinu hii inafanana kiasi na wayahudi nao kuna maeneo ambayo wanaoana wayahudi tu mwingine haruhusiwi.
 
Kadhi Mkuu 1

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
10,024
2,000
Mkuu adui hatoki mbali. Toka enzi wahutu na watusi si watu wema kwetu mimi naamini hilo. Mtusi anamthamini mtusi mwenzake kuliko kitu chochote.
Ndiyo maana leo hata ukimuoa mwanamke wa kitusi mtazaa watoto lakini lazima ktk watoto anaozaa nawe lazima azae mmoja na mtusi mwenzake ili asiue kizazi cha watusi.
Mbinu hii inafanana kiasi na wayahudi nao kuna maeneo ambayo wanaoana wayahudi tu mwingine haruhusiwi.
Nimekaa nao pale NHC swanga, walikuwa marafiki zangu sana. Ukioa mtutsi huzai nae hata mtoto mmoja. Atazaa na mwenzao wewe utalea mwisho utakufa kwenye mazingira ya kutatanisha. CCM CCM tuokoeni na hawa watu.
 
Kadhi Mkuu 1

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
10,024
2,000
Pia hawa jamaa kinywaji chao kikuu ni gongo, kila nyumba ya mtutsi ukiingia unakaribishwa na glass ya gongo ila uwe umeenda na mumewe mtutsi. Mimi pia nilishapewa gongo ila ni wasiri sana hata jirani ambao si wa kabila lao hawajui.
 
MLA PANYA SWANGA

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
4,742
2,000
Nimekaa nao pale NHC swanga, walikuwa marafiki zangu sana. Ukioa mtutsi huzai nae hata mtoto mmoja. Atazaa na mwenzao wewe utalea mwisho utakufa kwenye mazingira ya kutatanisha. CCM CCM tuokoeni na hawa watu.
Heri uliyejifunza kwa vitendo. Rafiki yangu alioa akazaa naye mtoto mmoja wa kwake lakini kweli alikufa mazingira tatanishi.
Ila kwa uzuri wanatisha.
 
MLA PANYA SWANGA

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
4,742
2,000
Pia hawa jamaa kinywaji chao kikuu ni gongo, kila nyumba ya mtutsi ukiingia unakaribishwa na glass ya gongo ila uwe umeenda na mumewe mtutsi. Mimi pia nilishapewa gongo ila ni wasiri sana hata jirani ambao si wa kabila lao hawajui.
Daaah hii siri hata mimi sikuijua.
 
Kadhi Mkuu 1

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
10,024
2,000
Heri uliyejifunza kwa vitendo. Rafiki yangu alioa akazaa naye mtoto mmoja wa kwake lakini kweli alikufa mazingira tatanishi.
Ila kwa uzuri wanatisha.
Halafu wana mtandao wao serikalini na mratibu mkuu ni waziri ambaye ni professor na katibu ni rafiki yangu ni Dr. wa linguistic UD. Ila sijui kama wamo humu maana wanaweza kunishtukia.
 
Kasililwa

JF-Expert Member
Dec 20, 2013
239
195
Kwani Mkombe huyo Mwenyekiti wenu alijazia fomu gizani hamkumuona? Rainer kakulia Chala kasoma Kaengesa seminary kafanya kazi Benki kaoa Mazwi mlikuwa wapi?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom