Recent content by kashobozi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Wewe huwa unaridhika ukisherehekeaje sikukuu?

    Kushinda nyumbani kwangu na familia baada ya kumaliza ibada
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mitaa korofi na hatari mikoani

    Bukoba ni uswahilini
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kufika kileleni mara nyingi ni kumridhisha mwanamke au ufundi ndio unahitajika zaidi?

    Je utajuaje kama umemfikisha , maana wanawake wengine hawasemi
  4. K

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Mm nina imani na chama langu, timu ni nzuri sana tutafika mbali sana wadau
  5. K

    JamiiForums Tanzania Pata Simu Orijino kwa Bei Nafuu, Unaletewa Mpaka ulipo

    iPhone hawana simu fake, so hawezi weka hapo
  6. K

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    We have completed the first step, CL qualification now we are going for the next step BPL championship, Hope we will make it. Bravo YNWA
  7. K

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Lucas hayuko vizuri, labda kwa sababu anacheza nafasi ambayo si yake. Mashambulizi yanaanzia I pande wake. Haya majamaa hayatabiriki hadi dakika 90 ndo nitapumua. Let's hope
  8. K

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Pengo Henderson linaonekana kabisa
  9. K

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Ila tatizo la mechi ya Leo ni kwamba tutakuwa na pressure sana, kama ilivyotokea kwa Sunderland, inabidi tucheze defensive game ndo tutaweza wafunga spurs. Ili litawezekana kwa kutumia midfielders watano ( Gerard, Lucas, Allen,Henderson na rahem) alafu pale nyuma akae sakho, strkel na Johnson...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Mm kwa sasa nakaribisha wale mashabiki wanaotaka kujiunga Liverpool fomu zipo anayehitaji ani-pim. Kwa sasa tukishakaa pale juu nafikiri mpaka ubingwa. Kwakweli hadi raha go go go go liver YNWA
  11. K

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    You guys, ilishakuwa proved kwamba timu yoyote inayoongoza Wakati wa kipindi cha Christmas ndo inakuwa bingwa. Mark my words Liverpool Lazima ichukue kombe mwaka huu 2013/14.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Allen aonekani, inabidi awe replaced na Lucas, alafu stering ni mzuri pembeni pale Kati naona kachemka so inabidi awe replaced na coutinho. Kwa kufanya hivo Gerard atakuwa na mwanya sawia wa kutoa pasi . Otherwise hayo mabadiriko yakifanyika tutashinda hii game.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Ila Lucas nimuhimu angeanza badala ya Allen ukizingatia kwamba Allen anacheza vizuri sana akiingia kama sub, alafu instead of agger angecheza sakho maana wanapare vyema na sktrel, any way acha tuone mawazo ya mwalimu, YNWA, best lucky
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Malaysia A/line yapoteza mawasiliano

    Inasikitisha sana, ewe mwenyezi mungu warehemu watu wako. Maana hadi sasa hv kama hakuna habari zozote za kuhaminika basi wenzetu watakuwa wametangulia mbele ya haki.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Malaysian Airlines loses contact with Jet

    Ewe mwenyezi mungu wanusuru hawa wajakazi wako, amina
Back
Top Bottom