Ndege ya Malaysia A/line yapoteza mawasiliano

Ndege ya Malaysia A/line yapoteza mawasiliano

Malaysia’s prime minister, Najib Razak, has told a press conference at Kuala Lumpur International airport that the search area for the plane will be enlarged. He appears to have dealt only with the facts and refused to engage with any speculation about what may have happened to the plane.

"The prime minister, Najib Razak (centre), arrives to meet family and friends of passengers on board the missing Malaysia Airlines flight, at Kuala Lumpur International airport."

Photograph: Samsul Said/Reuters
 

Attachments

  • 1394287959071.jpg
    1394287959071.jpg
    34.4 KB · Views: 256
Ndugu nadhani hujaelewa..Ndege inayoruka umbali fulani mafuta huwa yanakuwa calculated vizuri kabisa kuweza kutoka point A to B , pia kama kuna shida point B basi kunakuwa na mafuta ya kwenda point C (Alternate aerodrome)..pasipo kusahau reserve fuel...

Endapo ndege itapoteza mawasiliano kwa muda kadhaa , wahusika wanahesabu total hours na ndipo wanaanza kuwa na wasiwasi wa mafuta.....

nafahamu kuhusu unalolisema,nafahamu pia kuhusu hiyo flight planning,nilichokuwa nashangaa kwa mdau,ni kusema kuwa mafuta yalikwisha.huo ndo ulikuwa mshangao wangu.ukiachilia mbali kupoteza mawasilianona control towers za vietnam,ilipotea kwenye rada kabla haijafanya mawasiliano na next control tower.so,ukifuatilia updates za hii ishu utaona fika eneo ndege hiyo ilipopotelea(kutokuonekana kwenye radar)sababu haiwezi kuwa ni kuishiwa kwa mafuta.
 
Inasikitisha sana, ewe mwenyezi mungu warehemu watu wako. Maana hadi sasa hv kama hakuna habari zozote za kuhaminika basi wenzetu watakuwa wametangulia mbele ya haki.
 
Ni kumuomba Mungu tu, waweze patikana salama. Lkn mmmhu, hio hali hio. Yarab manusra
 
Ndugu zetu, wanaohofiwa kufa kwa ndege iliyopotea majina yao yameshatolewa. Msiba mkubwa sana huu, ni majonzi sana.

2hrs
Malaysia Airlines has released the full passenger list with the names, nationalities and ages of those on board flight MH370. Razak said there were several theories about what happened to the plane and the government was looking at all possibilities, but it was too soon to explain what happened without strong facts and evidence.
Source: malaysian airway
 

Attachments

  • 1394290792659.jpg
    1394290792659.jpg
    65.4 KB · Views: 249
  • 1394290820787.jpg
    1394290820787.jpg
    65.5 KB · Views: 223
  • 1394290846346.jpg
    1394290846346.jpg
    71.6 KB · Views: 196
  • 1394290861484.jpg
    1394290861484.jpg
    72.4 KB · Views: 198
  • 1394290879437.jpg
    1394290879437.jpg
    67.9 KB · Views: 187
  • 1394290894221.jpg
    1394290894221.jpg
    53.6 KB · Views: 179
  • 1394290908479.jpg
    1394290908479.jpg
    32.2 KB · Views: 193
Naomba ipatikane kwani inatia huruma kutofika kule ulipotaka enda
 
Confusion surrounds the point at which the flight lost contact. In a statement, Malaysian Airlines' chief executive, Ahmad Jauhari Yahya, said it was in contact with air traffic controllers until around two hours into the flight, at a point 120 nautical miles off the east coast of the Malaysian town of Kota Bharu.


This screengrab from flightradar24, a flight tracker that shows live air traffic from around the world, shows the last reported position of Malaysian Airlines flight MH370 Photograph: AP
 

Attachments

  • 1394293003169.jpg
    1394293003169.jpg
    16.4 KB · Views: 312
Contact Information

For family members and friends, you may contact this number for query :

Malaysia: +603 8787 1269 / +603-8787 1629

Press/Media Contact

Malaysia: +603 8777 5777

Public Contact

Malaysia: +603 7884 1234-

For the passenger manifest of MH370, click here.
 
-Mambo makuu ambayo Mungu ameyaweka bayana “Majanga katika nchi kavu na baharini, hali ya vurugu katika jamii, vita za makabila na mataifa, tahadhari za vita zinazohusisha mataifa yenye nguvu duniani, ni ya kutisha, matetemeko ya ardhi katika miji mikubwa, dhoruba kali baharini, ajali za ndege angani. Yanabashiri juu ya matukio makuu yanayokaribia.
”(9T 11).
Swali kubwa je tumejiandaa katika pambano kuu la mwisho kusimama kwa miguu yetu mwenyewe bila kutegemea wazazi, wachungaji, ama waumini wenzetu. Ni dhoruba, “Dhoruba inaanza ambayo itaujaribu na kuutikisa kwa ghafla msingi wa kiroho wa kila mmoja wetu kwa upeo wa juu sana”

Tunapoendelea kuomba juu ya waliopotea kwa Malaysia Airlines MH370 Flight Incident 5T 129). Tukumbuke kujiombea nasi pamoja na familia na ndugu zetu kwani hatujui siku wala saa.
 
Hatukatishani tamaa,lakini biashara ndio imeisha,yaani hapo watafute tu black box ndio ukweli utajulikana..lakini kwa hali jinsi ilivyo na kadri muda unavyo yoyoma,matumaini ya kuwa salama yanazidi kufifia..inauma umejiandaa muda fulani ukampokee mpendwa wako halafu unapokea taarifa tofauti..!
 
Kwa mujibu wa msemaji wa Malaysian Airlines aina ya ndege ni Boeing 777-200 na ameeleza huenda ikawa imemaliza mafuta.

Kwa mujibu wa vyanzo vya habari niyo ndege ilikuwa na mafuta ya kukaa hewani7.5 hours masaa yameshapita mda mrefu sana kiongozi
 
Japo kila usafiri una shida zake lakini wa anga na majini inapotokea risk uwezekano wa kutoka salama ni finyu mno, wengi walikuwa wanamtoa fahamu yule mdachi aliyekuwa mchezaji wa Arsenal Denis Bekamp kwa kitendo chake cha kutopanda ndege hata iweje lakini alikuwa anayaogopa mambo kama haya.
 
Ndege ishadondoka nashangaa official reports zinakataa...RIP all 239 members
 
Back
Top Bottom