Recent content by KASHISHI WATER

  1. K

    JamiiForums Tanzania CCM yawatosa rasmi wasomi

    Katika haili isiyo ya kawaida katika semina ya watendaji ndani ya chama hicho wakati wa maswali katibu mmoja alisema vijana wasomi kutoka vyuo vikuu mbalimbali walioajiriwa na chama hicho wamekuwa wakiwatishia makatibu wao kutokana na elimu zao na hawakisaidii chama. Katika majibu yake naibu...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya CCM kumsindikiza Sioyi kuchukua fomu LIVE

    hongereni sana hizo ni dalili nzuri, endelea kutujuza kaka
  3. K

    JamiiForums Tanzania Uvccm-------->2012

    ZA LEOLEO ni mnafiki mtu kuwa mfuasi wa kigwangalla ni kosa au kwa kuwa wewe unatumiwa na msomali bashe, usitudanganye humjui comrade sambala huyo ni mpigania haki za wanyonge
  4. K

    JamiiForums Tanzania Lowasa hazina ya CCM 2015

    hana sifa hata moja ya kuwa raisi 2015 jambazi mkubwa
  5. K

    JamiiForums Tanzania Bashe, Kigwangalla vita kali Nzega. Bashe amsasambua Mh. Kigwangalla

    Wanajamii kuweni makinini na huyu kijana wa kisomali yote haya ameyaleta baada ya Mh Kigwangalla kugusa maslahi ya mabosi wake wanaomtumia kama chambo ila yeye hajui kwa kaajira walikompatia. asipoangalia atakuwa daraja la watu mpaka anazeeka
  6. K

    JamiiForums Tanzania UDOM hapakaliki; wanafunzi kumi wamefukuzwa bila kosa

    Hizo laptop ziliahidiwa siku nyingi sana, na wala hazijawahi kuonekana sijui ndio uchakachuaji LAKINI YOTE HAYA ANASABABISHA MLACHA INABIDI WAMVUE GAMBA ili chuo kiondokane na migomo.
  7. K

    JamiiForums Tanzania The Royal Wedding: Prince William & Kate Middleton

    Hakika vitu sealed vimeisha angesubiri mpaka chwee
  8. K

    JamiiForums Tanzania Muungano sio kitu cha kulazimishana,Jibu la Pinda ni kura ya Wz'bar maoni kutaka au laa Muungano.

    muungano ni muhimu katika nchi yetu tuachane na watu wachache wanaoubeza
Back
Top Bottom