Uvccm-------->2012

Hana lolote huyo ni mmoja kati ya wale vijana wanaotoana roho kuwania uongozi UVCCM,anajiita mh kisa ni diwani wa kata gani sijui dodoma huko! anamiliki ka group kake kule facebook kanaitwa TANURU LA FIKRA,kutwa ni kuwachafua vijana wenzake wenye nia na UVCCM kwenye hilo group na ni mmoja wa wafuasi wa kigwangala,anamkashifu bashe kila siku! anajiita comrade sambala,kifupi anapenda misifa ya kijinga! Im out aje ajitetea nimwage maovu yake hapa,,,

mkuu umeongea ukweli mtupu, namjua huyu anayejiita mh sambala kule fb anapenda misifa ya kijinga na nkpata muda ntatupia picha ya hapa mmuone vizuri.
 
mkuu umeongea ukweli mtupu, namjua huyu anayejiita mh sambala kule fb anapenda misifa ya kijinga na nkpata muda ntatupia picha ya hapa mmuone vizuri.

bado naandaa visa vyake,na utumbo wake kama uvccm watamchagua wajue wanachagua nn,kule facebook yeye kutwa kazi yake ni ku inbox mademu sentensi yake kubwa ni "unajua mm ni diwani" mh nchimbi ni mmoja ya watu wanao mpa kichwa kujiona anatosha kuwa kiongozi uvccm!
 
...Kijana za LEO LEO WE KWELI KILAZA.....

Umejigamba unakuja kumwaga ukweli hapa mbona hujaja na huo ukweli na pc ulizodai za Ufisadi wangu..

Nina mashaka na uelewa wako... Na inawezekana una matatizo ya akiji...
 
.... Mademu gani waliwahi kuwa na Inbox zangu...? Nyie kweli vilaza na wala hamjui mtendalo...

Poleni Vilaza wa Udaku nyie....
 
Humu ndani tuna wakina Mh Kigwangwala,Mh Zitto,Mh Mnyika,na Dr Slaa,wala hawajiiti Mheshimiwa,wewe kadiwani tu,tena ka kijijini eti Mh,ukiupata huo uenyekiti utajiita nani,ACHA UPUUZI KIJANA!
 
Humu ndani tuna wakina Mh Kigwangwala,Mh Zitto,Mh Mnyika,na Dr Slaa,wala hawajiiti Mheshimiwa,wewe kadiwani tu,tena ka kijijini eti Mh,ukiupata huo uenyekiti utajiita nani,ACHA UPUUZI KIJANA!

hahahahahahahaha ahsante mkuuu yani huyu jamaa ni hasara taslimu
 
.... Mademu gani waliwahi kuwa na Inbox zangu...? Nyie kweli vilaza na wala hamjui mtendalo...

Poleni Vilaza wa Udaku nyie....

Mtu akisoma majibizano yenu, wewe sambala ndo unaonekana kilaza, kwanza topic yako inajieleza ukitaka kuujua ukilaza wako. ungekuwa kwa baba moi ungeitwa nyang'au.
 
Mtu akisoma majibizano yenu, wewe sambala ndo unaonekana kilaza, kwanza topic yako inajieleza ukitaka kuujua ukilaza wako. ungekuwa kwa baba moi ungeitwa nyang'au.

huyu ndo zake akielezwa ukweli huwa hajibu hata siku moja zaidi ya kukuuliza maswali ya kipumbavu,kama hilo la kula hela za wanakijiji anataka mm nilete documents anataka niziweke vp wakati inafahamika? Suala la umri ni kwamba wewe sambala unajua kabisa hujazaliwa 84,walozaliwa 84 drs la saba walimaliza 99 au 2000 kipindi ambacho wewe ulikuwa mtu mzima tayari!
 
..... Haya umesinda wewe na udaku wako....

Siwezi jibishana na mtu ambaye hana data

Nimesema hii ni vita ya msituni sijui kama tuna waeza ku declare mshindi kwa sasa. Unaweza shangaa jamaa anafanya shambulio kubwa la kushtukiza!

Mkuu Sambala tuachane na hayo turudi kwenye thread yako; ulikuwa unataka kuliambia nini jukwaa? Manake kichwa cha habari hakisomeki vizuri japokuwa kinafanya mtu akifungue lakini ndani unakuta hakuna kitu. Inaonyesha kama UVCCM kuelekea 2012, ni uchaguzi bila shaka. Haya tuambie sasa muktadha wa thread yako.
 
ZA LEOLEO ni mnafiki mtu kuwa mfuasi wa kigwangalla ni kosa au kwa kuwa wewe unatumiwa na msomali bashe, usitudanganye humjui comrade sambala huyo ni mpigania haki za wanyonge
 
ZA LEOLEO ni mnafiki mtu kuwa mfuasi wa kigwangalla ni kosa au kwa kuwa wewe unatumiwa na msomali bashe, usitudanganye humjui comrade sambala huyo ni mpigania haki za wanyonge

naona secretary wake roho imekuuma kuona boss wako anapewa makavu live! Mie nitumiwe na bashe? Ili nn?
 
Hana lolote huyo ni mmoja kati ya wale vijana wanaotoana roho kuwania uongozi UVCCM,anajiita mh kisa ni diwani wa kata gani sijui dodoma huko! anamiliki ka group kake kule facebook kanaitwa TANURU LA FIKRA,kutwa ni kuwachafua vijana wenzake wenye nia na UVCCM kwenye hilo group na ni mmoja wa wafuasi wa kigwangala,anamkashifu bashe kila siku! anajiita comrade sambala,kifupi anapenda misifa ya kijinga! Im out aje ajitetea nimwage maovu yake hapa,,,

Do you think UVCCM can do better than this?
 
Back
Top Bottom