abdulahsaf
JF-Expert Member
- Aug 31, 2010
- 858
- 130
Written by mkulima // 29/04/2011 // Habari // No comments
Pinda asitutishe Wzbar Jawabu lake ni fupi tu,ama atajibiwa na BLW au Kura ya Maoni Wznz.
Wake up Wazanzibar mumemsikia Pinda mtekemewa Rais wa 2015,kama Wzanzibar hatukuvuta kamba mmoja kuvunja Muungano basi lengo la wenzetu ni kutumeza Zanzibar na rasilimali zake zote kuwa muflisi.
Anachokizungumza Mizengwe Pinda ndicho kinachozungumzwa na Watanganyika wote awe ccm awe Muislamu awe Buda wote lengo lao nikuimeza Zanzibar kwa hili Watanganyika lao ni mmoja.
Sisi Wazanzibar washa viongozi wetu wainakamize nchi na wawe na maneno ya kutafuna tafuna Pinda atetea Tanganyika kupora mali za Zanzibar kwa njia yakuwatisha Wzanzibar lakini Wazanzibar hatutishiki kwa makeke ya Pinda rabda awatishe wale watapia mloo wenye kwasho koo waliokuwa tayari kuuza utu wao na utaifa wao kwa kukumbatia Dunia.
Jee Pinda akiuzizwa masuala mawili tu anaweza kujibu? ikiwa Wzanzibar wenyewe wakisema hawataki Muungano kugawa mafuta yao watakiona?.
Hivi sasa Wazanzibar dio tujuwe rangi kamili za nio zao hawa Watanganyika na eti huyu ndio atakae kuja kuwa Rais Baada ya Kikwete jee Wazanzibar ndie huyu?
Maneno ya Pinda yanaonyesha kama Muungano nikitu chakulazimishwa Wazanzibar lazima wakubali wakitaka wasitake lazima wakubali kwa nguvu, sasa kuna faida gani na Muungano huu ambao una kasoro kibao na Wazanzibar wakitaja kasoro zenyewe Watanganyika huja juu, jee huu ni Muungano au ukoloni wa Kitanganyika?.
Kuna haja ya kupigwa kura ya maoni kulizwa hatma ya nchi yao Wazanzibar kamla mambo hayajawa mabaya sana, jee ccm/smz cuf Serekali ya Umoja wa kitaifa SUK mupo.
Au ndio mukiulizwa mutasema Pinda kateleza hakukusudia hivyo?.
Mungu ibariki Zanzibar na Wazanzibar wa nje na ndani.
Tunajuta Wz'bar kungana na nyiyi wababaishaji, enzi za kutishana zimepita pinda,soma historia ya Wz,bar sio wakutishwa au kutumiwa mabavu ni kidogo lakini ya Nyuki sio wingi lakini wa Nzi.