Lakini pia vipepeo wameshapepea tayari nafikiri kuona halo halisi ya badae...sis kama taifa tutulie na wale waliopo kwenye daftari la mpiga kura wapige kwa amani...Tz yetu naamin tutavuka salama tu labda watu walazimishe kwa matakwa yao wenyewe
Utakuja utambue madhara ya kupoteza uraia siku za usoni leo waweza kuamua kwa hasira namna hiyo lakini uhalisia hukujileta duniani na una watu walioko ndani ya nchi wa familia yako...kila la kheri lakini inaonekana unapotea kaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.