Lizaboni hana jipya yeye kila mada ni UAWA, CHADEMA na Dr.Slaa tafuta kwa miccm wenzaki uandike mf;Nape ahojiwa na takukuru kwa kuhonga wapiga kura wa ccm jimbo la Mtama- Lindi ahojiwa kwa saa tano, mbunge wa babati ccm akimbia takkuru na kuacha gari yake, Wasira amtwanga mwenyekiti mkoa wa mara...