Hongera wasanii maarufu wa CCM

Hongera wasanii maarufu wa CCM

Wataendelea kufa njaa. Ngoja awamu ya tano
 
Mnalialia nini nyie wapuuzi. Mnataka watu waache kufanya mambo yao kwa uhuru kisa siasa zenu uchwara? Hivi angefanyiwa mgombea wa UKAWA mngelialia hivi? Mnataka kujifanya wajuaji hata kwa vitu visivyo wahusu. Hafla ilikuwa ya Mh JK na wasanii full stop. Mkitaka waalikwa mnaowataka nyie andaeni ya kwenu ili mridhike na nafsi zenu. Kama nimeamua kutumia hadi senti yangu ya mwisho ili kumuaga Mh. JK na kuungana na MH Magufuli wewe kinakuuma nini? Kwani kuna siku nilishakuja kwako kukuomba msaada, au nililala na njaa nikaja kuomba chakula kwako?

Wewe ni boramatako ya. Kuku kuliko wewe
 
bandugu mbulula tz wapo wengi sana teba sana. ukizingatia wasanii weng wao ni akina Deo sanga katka upeo wa kufiri. unategemea nini kama si kukata mauno hata katka maswala ya msingi ya mustakabali wa taifa letu changa , et kisa juis duuu
 
Kwa hiyo ulipata ubwabwa? Ndio maana unatoa hoja za kuvimbilwa! Hivi ni kweli kabisa kwa akili yako unaamini Rais alistahiki kufanyiwa 'send-off' ile? Kwa lipi kubwa alilowafanyia wasanii? Ile 'studio hewa' waliyoiteka kina Runge au? Halafu kweli kwa akili zako 'nyingi' kiasi hicho unafikiri kuwepo na mfuko wa kusaidiana wasanii wakati wa maradhi au kuchangia mamia ya malioni ya kula ubwabwa ni kipi cha muhimu?
Tehe tehe tehe teheee. CCM Oyeeeee!:smile-big:

Pole naona unacheka si kama umefurahia ila kwa sababu unasikitika.Kunawengine huwa tunaamua kununua UPUMBAVU sababu ya kula tu.

Hatuna tofautina yule aliyeuza nafasi yake ya ukubwa kwaBakuli la dengu (Hadithi ya kwenye Bibilia)

Hawa watakuja kukumbuka shuka asubuhi.
 
Kikwete ni gwiji la usanii kwenye ukanda wa jangwa la sahara

Ila kwa sasa ameshuka kiwango, ni sawa na comedian apandae jukwaani na kujichekesha mwenyewe huku watu wakimshangaa. Sasa kama hili dili la kusema wasanii wameandaa shughuli ya send off halafu anayeagwa ndiye mtoa kadi kuwaalika walio mwalika !
Anatia huruma.
 
Habari kwamba wasanii maarufu wa Bongo wamemfanyia 'semnd-off' JK na kumualika pia mgombea urais wa CCM, JP Magufuli, inaamsha hisia za huzuni kubwa kwangu na pia kwa wengine wenye mtazamo mpana.

Kwa tathimini ya chini kabisa, juu ya maandalizi ya 'send-off' ile, ni lazima wasanii hao walitumia si chini ya sh. milioni 250 kwa ajili ya maandalizi ya vitu vyote vilivyogharimu shuhuli ile iliyoandaliwa ghafla mno.

Kiasi hicho, ambacho ni kikubwa mno kwa mapato ya wasanii wanaolialia kila siku kwa ukata, kinatokana na gharama za kukodi ukumbi, chakula, mapambo na hata jukwaa achilia mbali ile picha waliyomkabidhi JK.

Wajuaji hawaamini kuwa gharama zile zilitolewa na wasanii wenyewe, kwa sababu kumshaanza kuwepo malalamiko toka baadhi ya wasanii kutolipwa fedha walizoahidiwa na waandaaji halisi wa shughuli ile. Fedha za malipo ya kutumbuiza.

Lakini tukubaliane kuwa hafla ile iliandaliwa na wasanii kwa fedha za mifukoni mwao kama wanavytoaka tuaamini. Ila wakati tukiamini hayo, tujiulize pia hivi kufanya seherehe ya mamia ya mamilioni ya fedha kama ile kuna tija mno kuliko maisha ya wasanii wenzao?

Nakumbuka:

Mikaka michache iliyopita, msanii maarufu wa maigizo, mzee Small Ngamba alifariki dunia kutokana na maradhi ya kupooza huku akilalamika kuwa hana pesa za matibabu.

Kabla ya hapo, Sajuki, msanii mwingine wa Bongo Movie, naye alifariki kwa ugonjwa wa kansa ya damu baada ya kukosa matibabu kwa wakati. Naye ilikuwa hiyo, alikosa pesa za matibabu mpaka pale Zitto Kabwe alipopitisha kwa mbinde michango kwa ajili ya matibabu yake.

Inakumbukwa pia mzee Kipara na mzee Pwagu, wasanii maarufu zaidi wa nchi hii, nao pia walikufa vifo vibaya vya maradhi kwa kukosa fedha za matibabu kwa maradhi ambayo pengine yasingesababisha umauti wao iwapo wangepeta fedha za matibabu.

Wasanii hao wote, Mungu awaweke mahali pema, mara kadhaa walizungumzia hali ya maradhi yao na kuomba msaada wa fedha kwa wasanii wenzao lakini hawakupata msaada uliostahiki.

Ndorooobo nyie!

Kwa mazingira hayo, iwapo kweli wasanii maarufu wa CCM walichangia shughuli ile, basi watakuwa 'mandorooobo' wasiojielewa wala kutafakari mustakabali wa 'maisha yao ya kuigiza' ambayo pindi yanapokuja matatizo ya kiasili kama maradhi huanza kutapata.

Lakini kwa vile inajulikana fedha zile si zao, ni vyema wafahamu kuwa walichofanya usiku ule kimewanufaisha zaidi wale waliopewa tenda ya kuwakusanya wao na kisha kuwatumia kama mambumbumbu wanaoweza kutumiwa kukampeni kwa ujira wa ubwabwa na juisi ya usiku mmoja.

Kuna wengine huko ndugu zao hata kula yao hawaijui eti anaenda kuchangia pesa.....Duh inatia hasira.
Wamesahau kwamba Tanzania tupo enzi za vyama vingi...

Lakini nailaumu Tume ya Uchaguzi,ilibidi waweke yote haya kwenye sheria za uchaguzi,maana hata hiyi ni kampeni tosha,sijui wapinzani wako wapi kumuwekea huyu Makomeo PINGAMIZI......
 
Kama waliandaa wao mbona walipewa kadi za mialiko
Hilo ndio la kujiuliza walivyokuwa wapumbavu wanaamini makufuli atakuwa rais wao awaamini katika demikrasia sasa tutawaonyesha rais wa Tanzania ni nani
 
Mnalialia nini nyie wapuuzi. Mnataka watu waache kufanya mambo yao kwa uhuru kisa siasa zenu uchwara? Hivi angefanyiwa mgombea wa UKAWA mngelialia hivi? Mnataka kujifanya wajuaji hata kwa vitu visivyo wahusu. Hafla ilikuwa ya Mh JK na wasanii full stop. Mkitaka waalikwa mnaowataka nyie andaeni ya kwenu ili mridhike na nafsi zenu. Kama nimeamua kutumia hadi senti yangu ya mwisho ili kumuaga Mh. JK na kuungana na MH Magufuli wewe kinakuuma nini? Kwani kuna siku nilishakuja kwako kukuomba msaada, au nililala na njaa nikaja kuomba chakula kwako?

lumumba atwork
 
Hujuhi siasa ndo maana umeishia kubwabwaja na kuwatuka wenzio ..nyinyi wafuasi Wa fisadi mnakula vijiti sana nyie yaani vichwani mmejawa na gongo mpaka matatizo
 
Kwa maneno tangulizwa hapo juu, inatosha kudhihirisha kuwa hao waCHanii na ChiChiyemu yao, vichwa vyao ni MITUNGI YA MAVI, cheeeeeefu!!!
 
Habari kwamba wasanii maarufu wa Bongo wamemfanyia 'semnd-off' JK na kumualika pia mgombea urais wa CCM, JP Magufuli, inaamsha hisia za huzuni kubwa kwangu na pia kwa wengine wenye mtazamo mpana.

Kwa tathimini ya chini kabisa, juu ya maandalizi ya 'send-off' ile, ni lazima wasanii hao walitumia si chini ya sh. milioni 250 kwa ajili ya maandalizi ya vitu vyote vilivyogharimu shuhuli ile iliyoandaliwa ghafla mno.

Kiasi hicho, ambacho ni kikubwa mno kwa mapato ya wasanii wanaolialia kila siku kwa ukata, kinatokana na gharama za kukodi ukumbi, chakula, mapambo na hata jukwaa achilia mbali ile picha waliyomkabidhi JK.

Wajuaji hawaamini kuwa gharama zile zilitolewa na wasanii wenyewe, kwa sababu kumshaanza kuwepo malalamiko toka baadhi ya wasanii kutolipwa fedha walizoahidiwa na waandaaji halisi wa shughuli ile. Fedha za malipo ya kutumbuiza.

Lakini tukubaliane kuwa hafla ile iliandaliwa na wasanii kwa fedha za mifukoni mwao kama wanavytoaka tuaamini. Ila wakati tukiamini hayo, tujiulize pia hivi kufanya seherehe ya mamia ya mamilioni ya fedha kama ile kuna tija mno kuliko maisha ya wasanii wenzao?

Nakumbuka:

Mikaka michache iliyopita, msanii maarufu wa maigizo, mzee Small Ngamba alifariki dunia kutokana na maradhi ya kupooza huku akilalamika kuwa hana pesa za matibabu.

Kabla ya hapo, Sajuki, msanii mwingine wa Bongo Movie, naye alifariki kwa ugonjwa wa kansa ya damu baada ya kukosa matibabu kwa wakati. Naye ilikuwa hiyo, alikosa pesa za matibabu mpaka pale Zitto Kabwe alipopitisha kwa mbinde michango kwa ajili ya matibabu yake.

Inakumbukwa pia mzee Kipara na mzee Pwagu, wasanii maarufu zaidi wa nchi hii, nao pia walikufa vifo vibaya vya maradhi kwa kukosa fedha za matibabu kwa maradhi ambayo pengine yasingesababisha umauti wao iwapo wangepeta fedha za matibabu.

Wasanii hao wote, Mungu awaweke mahali pema, mara kadhaa walizungumzia hali ya maradhi yao na kuomba msaada wa fedha kwa wasanii wenzao lakini hawakupata msaada uliostahiki.

Ndorooobo nyie!

Kwa mazingira hayo, iwapo kweli wasanii maarufu wa CCM walichangia shughuli ile, basi watakuwa 'mandorooobo' wasiojielewa wala kutafakari mustakabali wa 'maisha yao ya kuigiza' ambayo pindi yanapokuja matatizo ya kiasili kama maradhi huanza kutapata.

Lakini kwa vile inajulikana fedha zile si zao, ni vyema wafahamu kuwa walichofanya usiku ule kimewanufaisha zaidi wale waliopewa tenda ya kuwakusanya wao na kisha kuwatumia kama mambumbumbu wanaoweza kutumiwa kukampeni kwa ujira wa ubwabwa na juisi ya usiku mmoja.

Acha wivu wewe au kwa sababu hujaalikwa
 
mkuu heri wewe umesema
 
Mnalialia nini nyie wapuuzi. Mnataka watu waache kufanya mambo yao kwa uhuru kisa siasa zenu uchwara? Hivi angefanyiwa mgombea wa UKAWA mngelialia hivi? Mnataka kujifanya wajuaji hata kwa vitu visivyo wahusu. Hafla ilikuwa ya Mh JK na wasanii full stop. Mkitaka waalikwa mnaowataka nyie andaeni ya kwenu ili mridhike na nafsi zenu. Kama nimeamua kutumia hadi senti yangu ya mwisho ili kumuaga Mh. JK na kuungana na MH Magufuli wewe kinakuuma nini? Kwani kuna siku nilishakuja kwako kukuomba msaada, au nililala na njaa nikaja kuomba chakula kwako?

Mwambie aisee
 
Back
Top Bottom