Recent content by kasembe

  1. kasembe

    Dr slaa, kama kwenye ngazi ya chama tu umepotelea ulaya, itakuwaje ukiipata ikulu?

    Lakini jamani tuliwachezea ball wale tembo japo walitufunga ila Samatta katuangusha
  2. kasembe

    Live updates: Matokeo ya udiwani kwenye kata za uchaguzi - Juni 16, 2013

    Zemakopo naona unashindwa kuelewa jinsi ya kufanya utafiti, mshindi ktk uchaguzi huu ni chadema. Kwasababu daftari la wapiga kura halijarekebishwa na kata hizo karibu zote isipokuwa zile nne za Arusha na nyingine moja zote zilikuwa zinashikiliwa na ccm na cdm imenyang'anya toka ccm. Hivyo...
  3. kasembe

    Uchaguzi wa Madiwani kata za Arusha Waahirishwa hadi Juni 30, 2013

    Unaimani za kishirikina sana wewe mpuuzi!
  4. kasembe

    Matukio ya mabomu Arusha, Inawezekana adui amekaa pembeni anatucheka tunavyonyoosheana vidole

    Inawezekana kabisa wewe ni mhusika au unawajuwa wahusika na hapa unajaribu kutuondoa kwenye mawazo ya kuwatuhumu ccm, labda huu ndo mkakati wenu, sisi tunajua kwahakika wale wenye dhamana ya usalama hapa Nchini ni serekali ya ccm na kama lolote linatokea basi wahusika ni serekali ya ccm ndiyo...
  5. kasembe

    Hii ya Amri Kiemba imekaaje?

    Tusajili vijana wadogo kwani ile ni chekechea. Kama unataka vijana wadogo nenda arsenal
  6. kasembe

    Kada wa CHADEMA kuiaga SAUT leo

    Serekali ya kidini? Una akili sawasawa wewe? Hujui kuwa nchi hii haina dini ila ccm inapandikiza udini na kuwabeba waislam? Siasa zako na mawazo yako yapotelee mbali na serekali ijayo. Nawaomba wacdm wenzangu tuache kufikiria kuchukuwa nchi kwa sasa badala yake tuendeleze m4c kwa bidii ili ienee...
  7. kasembe

    Tundu Lissu amsifia waziri wa fedha

    Ronadol ataondoka tu madrid
  8. kasembe

    Tundu Lissu amsifia waziri wa fedha

    Hivi matango na matikiti maji yepi yanafaida sana mwilini?
  9. kasembe

    Mtoto kaniuliza kwanini CCM wanakubali CHADEMA wachague wabunge mastaa wote?

    Mimi ningemjibu kuwa tatizo ni mtambo unaofyatua viongozi ndani ya ccm ambao unaitwa rushwalism, huu umewalevya ccm wote kiasi kwamba hawawezi tena kufyatua viongozi bora na hatari iliyopo hata 'bora viongozi' hawapatikani tena, hawa ' bora vuongozi' walikuwa wakati ule ni kama akina Kawawa...
  10. kasembe

    CV ya Dr Slaa From Certificate to PhD

    Kwani diwani hapo hoja ilikuwa ni mtiririko wa elimu au hoja ni elimu na ubora wake? Nb: tupia na ya kwako tukujadili kidogo, tumesharidhika ya dr Slaa tunataka ya mwingine tuanze na ya kwako mkuu wangu
  11. kasembe

    CV ya Dr Slaa From Certificate to PhD

    Heri mwenye elimu ya Biblia kuliko mwenye helimu ya totoz
  12. kasembe

    Mbunge aangua kilio bungeni kisa yeye kupokea taarifa za msiba akiwa juu ya mti!

    Mbona siwaelewi jamani au ninyi ni maliberal?
Back
Top Bottom