Recent content by KaselengeJr

  1. KaselengeJr

    Eid Mubarrak to all members of JamiiForums

    Mungu atujalie sote kwa kutupa Maisha Marefu ndg.zangu wa Jamii forum Sent using Jamii Forums mobile app
  2. KaselengeJr

    JE WAJUA?

    Kama haujui Sent using Jamii Forums mobile app
  3. KaselengeJr

    Korea Kaskazini yajipanga kurusha makombora karibu na kisiwa cha Marekani

    Patamu hapo kama watafanya hivyo na wa marekani wajibu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. KaselengeJr

    Mtanzania, Alphonce Simbu ashika nafasi ya tatu Marathon IAAF LONDON

    Kongole kwake Sent using Jamii Forums mobile app
  5. KaselengeJr

    Uvaaji wa sare za kijeshi kwa viongozi wetu wa kisiasa Unazingatia vigezo?

    Nimeona niulize swali hili ambalo limekuwa linanifikirisha kwa muda sasa hususani Mara baada ya viongozi wetu wakisiasa wanapokuwa wamevaa sare za majeshi yetu katika shughuli maalum mbalimbali za kitaifa,ili niweze kupata ufafanuzi. Nilichotaka kukijua ni uvaaji wa nguo hizo kwa viongozi wetu...
  6. KaselengeJr

    Utumishi wa Umma kwa Nadharia hii ya Mwalimu Jk.Nyerere he unachukuliwaje na waajiriwa wa sasa

    Ngazi zote,ukiajiriwa na s/Kali sasa sahau habari za mshahara mkubwa mwisho 15.mil.semina na semina elekezi,posho,warsha na makongamano. Ni hapa kazi tu na kujitolea kiuzalendo kwenda mbele
  7. KaselengeJr

    Vyeti vyatikisa nchi.Waliopotelewa wajisalimisha NECTA, * NSSF yagoma kulipa ambao hawajawasilisha

    Hofu yangu ni kwamba miongoni mwa hao wanaokwenda NECTA kuomba kuchapiwa vyeti vipya kwa hoja ya kuvipoteza miongoni mwa ina wezekana wakawa ndio vihiyo wenyewe wanaotumia vyeti vya watu,waliohai au kufariki na nk. Hivyo Baraza linapaswa kuwa makini zaidi na kuongeza masharti ili kuwatambua...
  8. KaselengeJr

    Utumishi wa Umma kwa Nadharia hii ya Mwalimu Jk.Nyerere he unachukuliwaje na waajiriwa wa sasa

    UTUMISHI WA UMMA KWA MTAZAMO /FALSAFA HII YA MWALIMU JK.NYERERE UNAPEWA UZITO KIASI GANI NA WATUMISHI WA UMMA WA SASA?
  9. KaselengeJr

    Tetesi: Kinara wa kukwamisha Rais Magufuli asiwe Mwenyekiti wa CCM ni Rajab Luhwavi, NKM CCM Bara

    Ndio maana ukaziita tetesi na sio habari zenye uhakika kwani hazina ushahidi Bali zinamalengo ya kupaka matope upande Fulani. Lini CCM wakavunja utaratibu wa kukabidhiana madaraka ya wenyekiti kwa kizingizio cha fedha? Unachokisema ni sawa na mahubiri ya kitetesi ya Askofu Gwajima
  10. KaselengeJr

    TGNP yamshauri rais Magufuli kuangalia swala jinsia katika uteuzi wake wa viongozi

    Ukimsema Samia umemsema JPM banaa ee,acha kujenga hoja za chuki.
  11. KaselengeJr

    TGNP yamshauri rais Magufuli kuangalia swala jinsia katika uteuzi wake wa viongozi

    Hapo umenena ofkoz hachaguliwi kiongozi kwa sababu ya jinsia yake pekee ,ila sifa stahiki ikiwemo elimu/ujuzi,uchapakazi,na rekodi yake katika Utumishi wa umma na jamii kwa ujumla, Wapo wanawake/wanaume wanaofaa na pia wasiofaa kwa upande wangu mm Rais afanyie kazi maoni yao huku akiendelea...
  12. KaselengeJr

    TGNP yamshauri rais Magufuli kuangalia swala jinsia katika uteuzi wake wa viongozi

    Hatumanishi kuusifia utawala wa JK na kuuponda ule JPM katika swala hili Bali TGNP wametumia kama nukta mrejeo katika kujenga hoja zao lakini pia kuweka sawa hoja kwa mtazamo wa kisheria na mikataba ya kimataifa. Hapo swala la uteuzi wa akina mama ni ajenda/hoja nyigine na uwajibikaji ni ishu...
  13. KaselengeJr

    TGNP yamshauri rais Magufuli kuangalia swala jinsia katika uteuzi wake wa viongozi

    Huo unaouzungumzia ww ni mfumo dune ukweli in kwamba binadamu wote ni sawa Bali tunatofauti tu ya kimaumbile( me/ke) na sio gender roles,mgawanyo wa kazi na majukum ( sote twaweza)
Back
Top Bottom