Utumishi wa Umma kwa Nadharia hii ya Mwalimu Jk.Nyerere he unachukuliwaje na waajiriwa wa sasa

KaselengeJr

Member
Jul 6, 2016
22
9
a49ab1b1f1501a667b60b757fdb23064.jpg

UTUMISHI WA UMMA KWA MTAZAMO /FALSAFA HII YA MWALIMU JK.NYERERE UNAPEWA UZITO KIASI GANI NA WATUMISHI WA UMMA WA SASA?
 
Sasa sijui huo utumishi wa umma upo level gani sasa hivi, maana hizo kazi halisi za kujitolea zinanunuliwa siku hizi.
 
Ngazi zote,ukiajiriwa na s/Kali sasa sahau habari za mshahara mkubwa mwisho 15.mil.semina na semina elekezi,posho,warsha na makongamano. Ni hapa kazi tu na kujitolea kiuzalendo kwenda mbele
 
Back
Top Bottom