Recent content by Kaselele

  1. Kaselele

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini siri ya Wanaume kutangulia kufa na kuacha Wake zao wajane?

    Kikubwa ni kuwa wanaoa watoto wadogo walopishana miaka mingi.
  2. Kaselele

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dialysis Zanzibar ni bure na Tanzania bara 180,000 kwa siku

    TZS 3000 kwa 1kg
  3. Kaselele

    JamiiForums Tanzania Kwanini unapofanya miamala kwa benki gharama za miamala huwa haziwekwi wazi ujue kabla hujatuma?

    Mkuu kila benki kila mwaka wanatoa orodha yote ya charges kwa mwaka husika. Ikiwa mteja hajui inakuwa ni uzembe.
  4. Kaselele

    JamiiForums Tanzania TRA Jiridhisheni na kipato cha Mwijaku

    Mkuu nimekuona fala sana. Badala kuishauri TRA wawachunguze waliotajwa kwenye ripoti ya CAG waliohusika na upotevu mabilioni ya kodi ambayo imeshakusanywa, eti wamchunguze mpambanaji anaejidhalilisha kuitafuta hela? Pia itakuwa huelewi kuwa sio kila hela inalipiwa kodi, kuna watu wana basic...
  5. Kaselele

    JamiiForums Tanzania Mikasa iliyotokea kipindi wanaigiza filamu za Yesu

    Ona hiyi
  6. Kaselele

    JamiiForums Tanzania Mikasa iliyotokea kipindi wanaigiza filamu za Yesu

    Mathayo 27:46 Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?
  7. Kaselele

    JamiiForums Tanzania Graphic Content: Angalia kundi la Janjaweed wanachowafanyia wanawake Darfur, Sudan

    Umefupisha kati apo ili uharibu maana ya aya: "And kill them wherever you catch them, and drive them out from where they drove you out; and temptation (Or: discord, sedition) is more serious (Literally: stronger) than killing; and do not fight with them at the Inviolable Mosque until they fight...
  8. Kaselele

    JamiiForums Tanzania Graphic Content: Angalia kundi la Janjaweed wanachowafanyia wanawake Darfur, Sudan

    Video imeandikwa kwa kiarabu: "Hii ni katika mpaka wa Niger na Nigeria" Alafu kuna mtu anakuja kuandika Darfur[emoji3][emoji3][emoji3] Niger kuna makundi mangapi ya waasi ambao sio waislimu??
  9. Kaselele

    JamiiForums Tanzania Graphic Content: Angalia kundi la Janjaweed wanachowafanyia wanawake Darfur, Sudan

    Soma apo kwenye video palindikwa: "هذا في الحدود مابين نايجر ونايجيريا" "Hii imetokea katika mpaka wa Nigier na Nigeria" wewe unasema Darfur.
  10. Kaselele

    JamiiForums Tanzania Baada ya January 30, 2024 Jerry Silaa ataendesha operesheni ya kuvunja vituo vya mafuta nchi nzima?

    Nadhani shida haipo kwenye hisa, shida ipo kwenye kulitia hasara taifa, coz akianza kuvunja wakati wawekezaji walifata taratibu zote na wana vibali halali kuna possibility ya kushitakiwa serikali na ikitokezea serikali ikashindwa kodi yako ndio italipa hiyo fidia ya hasara kwa mwekezaji.
  11. Kaselele

    JamiiForums Tanzania Nimepokea mzigo wa kwanza kutoka AliExpress

    Maelezo yepi unayoyataka?? Nimesema jana nilipigiwa simu nikaambiwa tumepokea mzigo wako kutoka AliExpress, unatakiwa uje uufate ofisini. Sikutaka kuuliza kama wao ni agents au ni ofisi ya AliExpress, muhimu nililipia gharama ya usafirishaji mzigo kwa supplier, njia alioitumia yeye kusairisha...
  12. Kaselele

    JamiiForums Tanzania Nimepokea mzigo wa kwanza kutoka AliExpress

    Rahisi sana, Unapiga: *150*01# 7. Huduma za kifedha 7. TigoPesa Kadi 1. Tengeneza kadi mpya... then utachagua ikiwa unataka ya kutumika mara moja ama unataka ya miezi mitatu (zote kutengeneza ni bure) Ukimaliza apo apo unatumiwa apo apo unatumiwa namba ya kadi yako, jina na zile namba tatu za...
  13. Kaselele

    JamiiForums Tanzania Nimepokea mzigo wa kwanza kutoka AliExpress

    Nimeshakifunga kinafanya kazi vizur, na nimefanya test zote za touch
  14. Kaselele

    JamiiForums Tanzania Nimepokea mzigo wa kwanza kutoka AliExpress

    Pia kwenye order track ilibadilika hapo hapo kuwa delivered.
  15. Kaselele

    JamiiForums Tanzania Nimepokea mzigo wa kwanza kutoka AliExpress

    Nadhani watakuwa ni agents, ila dakika niliosaini tu AliExpress walinitumia email hapo hapo kuwa nimesaini mzigo.
Back
Top Bottom